- Thread starter
- #21
Umelogwa! Hakuna anayefanya lolote independently of what Magufuli is mammering on his mouth! Wanaangalia midomo ya magufuli inacheza cheza vipi ndiyo wanafuatilizia humo!Tatizo lenu hamuijuwi CCM, Magufuli ni mwenyekiti wa "vikao" vya chama na wala sio mwendeshaji wa kila siku wa chama. Tofauti na vyama vyenu wannabe ambapo mwenyekiti au kiongozi wa chma ndio katibu kuu, ndio mweka hazina, ndio mnadhimu mkuu na ndio mfadhili. Chama sio mali ya mtu mmoja, vyama vyote vya siasa Tanzania ni mali ya jamii.