Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

ungetutajia hao waliotimuliwa kwa ufisadi na kuja cdm wakapokelewa ungeeleweka zaidi
 
Unafikiri hata kanisani au msikitini ni wote wanaosali ni wacha Mungu?
Mtawatambuaje? Kwa matendo yao kisha watatoswa kama Yona alivyofanywa kwenye Biblia na Quran.

Wakipata bahati ya kumezwa na samaki na kutapikwa nchi kavu wamshukuru Mungu vingibevyo watakuwa chakula cha samaki. Mfano wakawaulize madiwani Arusha na Shibuda sema kajirekebisha na ujira wa mwiwa.
 
Me nadhan umenena vema.kwa kweli wangeweka limit kwamba wote wahamiaji kush nei kupewa uongozi hata baada ya miaka mingi kupita(kwa wale wasio wenye madoa ya ufisadi)
 
kuna kitu kinaitwa, katiba ya chama ambayo ndiyo inasema kila kitu, kanuni miongozo, kiongozi anatakiwa aweje, akikosea anafanywaje na hiyohiyo katiba. Mfano ni hawa madiwani wa Arusha walikwenda kinyume na katiba ya chama then katiba ikawafukuza, walikiuka misingi ya katiba ya cdm
Sasa hapa ata aje Chenge katiba itamuangalia na kum'mulika. Lastime b4 vyama vingi tulikuwa tunaijua ccm ingawa tulikuwa hatujishughulishi na siasa ila kwa sasa wametaka tuijue na tutaijua na tunawatoa, hawa wanaohamia wasikutishe uanachama unawatosha. Hapa hata huyu Zitto akituletea ujingajinga tunamfuta
 
first i should declare my interest" mimi sio member wa chadema" ila ninatamani changes katika nchi yangu. sasa kinachoendelea ndani ya cdm kinasikitisha na kinapelekea ku loose interest yao ya kupinga ufisadi. nimekuwa na bahati ya kuwa karibu na baadhi ya viongozi wa chadema na hawa wanaccm waliojiunga na tunaowatarajia kujiunga na cdm wanaweza kupoteza nguvu ya cdm.
viongozi wa cdm watanielewa namaanisha nini ninaposema hivi maana hakuna mchujo kwa watu wanaoingia ndani ya chama chenu and u are expecting them to serve the interest of cdm? here is where many of opposition wanapokosea kwasababu hii ina faida kuonesha mvuto wenu kwa jamii umeongezeka ila hawa watu watakiaribu chama chenu.
 
Magamba at work!
 
Yesu alifanya kazi ya kuwarudisha kundini kondoo waliopotea .... !!
 
Kaka ebu tumia akili, vipi kama simba au yanga wanaitaji wanachama wewe utawashauri wawapate kwa kutumia mchujo? Chama si mali ya Mtu kila mmoja anaruhusiwa kuingia au kutoka, mambo ya kusema watakivunja nguvu ni matokeo tu, mbona CCM hapo zamani ilipokea wanachama wengi toka upinzani lakini hawakukivunja nguvu? Na kwanini ufikirie Negative na si Positive? Kuwa na Imani kijana
 
kaka ebu tumia akili, vipi kama simba au yanga wanaitaji wanachama wewe utawashauri wawapate kwa kutumia mchujo? Chama si mali ya mtu kila mmoja anaruhusiwa kuingia au kutoka, mambo ya kusema watakivunja nguvu ni matokeo tu, mbona ccm hapo zamani ilipokea wanachama wengi toka upinzani lakini hawakukivunja nguvu? Na kwanini ufikirie negative na si positive? Kuwa na imani kijana

what am trying to tell u ni kwamba hawa watu mnaowachukua ni very influential, very powerful, wenye nafasi kubwa ya kubadilisha upepo wa cdm. You must accept this
 
Good idea but kumbuka Dr slaa alitokea chama gani kama si ccm? Cdm ina antivirus ,they will be scanned thoughly. Vua gamba,vaa gwanda forever.
 
tatizo la cdm ni moja...hawana enough experience members kutoka chama chao ambao wako tayari kuchukua nchi na kuongoza wizara na taasis mbali mbali....so cdm needs some experienced individuals kutoka ccm ili wawasaidie kwenye uongozaji wa nchi na isitoshe sio kila mwana ccm ni fisadi ...kuna wengine wako fresh tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom