Wanaogopa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaogopa nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Isaac, Jan 26, 2011.

 1. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Katika pitapita zangu nimekutana na matokeo ya kidato cha nne.Ukweli ni kwamba watoto wetu wamefeli sana.Je wizara wameweka matokeo haya kimya kimya kuepusha aibu ya shule za kata?
   
 2. blackdog

  blackdog Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  sio kama wanaogopa wanayaonea aibu tu, kani ni aibu kwa taifa nzima
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Naona wameyatangaza TBC 1 kwenye dira ya mchana. Ila huyo demu aliyekuwa anasoma hiyo taarifa ka facial expression yake ina uchachu!
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Shule za kata kiuno siku zote zinaleta aibu :shock:
   
 5. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,375
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa elimu yetu sio katika ubora wa elimu Bali ni katika kuhakikisha kuwa tunakuwa na wahitimu wengi na vyumba vingi tunavyoviita madarasa
   
 6. blackdog

  blackdog Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Pata maana ya nemo jenyewe kata maana yake ondoa apafai
   
 7. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Duh! Inaweza kuwa kweli eeeh!
   
Loading...