Wanaogopa kujitokeza hadharani kuunga mkono mapambano, ila wanajiandaa kushangilia matokeo hadharani!

Askofu, uliyoandika na watu ulio wataja, ndiyo hesabu ya kura mlizo pata! 84% ya kura za Magufuli ni za wale ambao hukuwataja! Mnaungwa mkono na wananchi wachache, na hao utakuta ni wale disgruntled! Kwa mfano uliowataja wa vyeti hewa. Je hao ni wangapi? Na number za walimu, TISS, askari etc. wanaokusuport ni ndogo na jumla ni hiyo mliyopata! Mbona mwenzio (Lissu) amekubali kwamba watanzania hawakuwapa kura wapinzani! Eti haja amuka!...
Umemuelewa mh. Askofu ?!
 
Katiba ni mambo ya Ccm? Kwahiyo katiba ni kwa ajili ya wapinzani na sio ccm? Unajua unachoongea?
 
Back
Top Bottom