Huyo pia ni mvulana nadhani???
IMG_20200930_214105.jpg
 
Kujua wapiga kura nyingi au la angalia composition balance ya watu kwenye mikutano

Je age groups zote ziko represented almost equally? Vijana wengi wapo,watu wazima wengi wapo?

Pili jiulize gender je wasichana na akina mama wapo wengi? Hili LA muhimu sababu akina kwa sensa ndio wengi kuliko wanaume.Mikutano ikikosa wanawake wengi ni kiashiria tosha kuwa uwezekano wa mgombea kupata kura chacche ni mkubwa mno.Sababu akina mama ndio wapiga kura wengi

Lisu mikutano yake wanawake hana ambalo ndilo kundi kubwa mno ambalo ushindi ndipo upo
October 28 kura za akina mama zinaenda mpiga chini Lisu .Hiyo ni population kubwa ambayo CCM inayo tele .Ukienda mikutano ya CCM asilimia kubwa akina mama na wasichana
Nshakupa majibu,
Kampeni Ni siyansi,hilo kundi sisi tunalichukua pasi na kutumia gharama kubwa,ukimchukua Mume na mke nae wako tuu.

Kwani lowasa si alinunuliwa yeye lakini mke wake nae akamfuata?
 
Bora CDM 18-23...CCM wanachukua hadi vitoto vya chekechea wakashangae mafundo ya Mond
FB_IMG_1601502122191.jpg

Mbeya jana
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.

Mwanzo mlikuwa mnasema hana watu, ikaonekana hiyo haifai, sasa hivi imebidi propaganda yenu ibadilike kuwa ni vijana wasiopiga kura. Ile idadi yenu ya kupika ya wapiga kura 29m+ itawatokea puani safari hii. Shubamiit.
 
Mkuu mnalo jambo mwaka huu. Wananchi wamewakataa na hata mbingu imewakataa. Kundi la vijana ndilo lenye kuweza kufanya maamuzi, na hasira za wazazi wao hudhihirika kupitia wao.

Sera za kukumbatia maendeleo ya vitu, imeawaathiri vipato vya wazazi wengi kutokana na mzunguko wa fedha kuwa mdogo. Jambo hili huathiri mno maisha ya vijana kwa kuwa ni kundi ambalo linapenda starehe na burudani zaidi.

Vipato visivyokuwa vya uhakika ktk familia zao huwafanya nao kuwa na maisha yasiyokuwa yenye furaha, na hivyo kuhamishia hasira zao kwa watawala. Kwa hiyo basi tegemea kabisa na uwe ujasiri wa kukiona kile ambacho pengine kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe hupendi kitokee, kwa kuwa vijana hao wanaompenda sana shujaa wao Lissu wana jambo lao siku ya tarehe 28-10-2020.
Na wanakataliwa kwelikweli hadi huko vijijini sema habari hazirushwi tuu

.
 
Du!! wamewafundisha watoto tabia mbaya, ndo kucheza gani huko? Baada ya kampeni za mwaka huu, habari za watoto kubakana zitatawala wakijaribu kupractice walichojifunza kwa wasanii kwenye kampeni za ccmpolepole

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Mbali na hivyo tu sheria ya vyama vya siasa inazuia kutumia watoto kwenye shughuli za kisiasa sema kwa sababu ni ccm wako exempted na sheria hiyo.
 
Wanaofurika mikutano ya Tundu Lissu wengi vijana ambao 2015 walikuwa hawajafikisha umri wa kupiga kura

Ukiangalia age group ya wahudhuriaji ni kati ya miaka 20 had 23 wengi wavulana

Wasichana na akina mama na watu wazima huwaoni mikutano ya Lisu ni wachache mno

Tafsiri yake ni kuwa wengi wanaenda tu kama burudani mtoko ndio tabia za wavulana wadogo

Pili sio kundi serious sana wengi huwa hawapigi kura na hawana vitambulisho vya mpiga kura sana vya taifa tu

Ukienda vituo vya kura ni nadra kuwaona vijana wa umri huo kwenye mistari ya kupiga kura.

Tafsiri ingine ni kuwa Lissu hakubaliki kwa makundi yote ya age group na gender zote sababu wahudhuriaji wengi wavulana.
Vijana wadogo ni asilimia 70 ya watanzania wote na ushindi wa Lissu ni huo 70%. Asante kwa kikiri mafuriko CDM. CCM wana kesi ya kuwalazimisha watoto wa chekechea kwenda kwenye mikutano ya siasa.
 
Wenye mamlaka ya kumchagua rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ni nani?
Watanzania watachagua Rais ila siyo huyoo jamaa yenu. Wee fuatilia comed zake tu hasa akiwa anahutubia, halafu niambie kama kweli unaweza dhani ni mgombea uraisi. Yaanii kiufupi hakuna mwenye akili timamu atamchagua.
 
Back
Top Bottom