Wanaofanikiwa kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidhaa ni wanaouza bidhaa kwa bei halisi

Mie nimemuelewa,anachomaanisha ukitaka ufanikiwe uza bei inayoendana na thamani ya kitu,faida iwe ndogo ili uweze kuuza bidhaa nyingi,mfano simu kuna mtu mtaani anakujia na simu mkononi ipo kwenye box lake,lakini bei anayokuuzia yaani hapo amejiwekea faida elfu 10 je hapo mtu kununua inakuwa ngumu lakini kama bidhaa kama ukajiwekea japo faida elfu mbili utajikuta unauza bidhaa nyingi kwa muda mfupi
 
Back
Top Bottom