Wanaoenda kusoma India mwaka 2021/2022

ba4

Member
May 20, 2021
55
48
Napenda kuwasalimuni wote humu!! Mm mtanzania na familia yangu tumejipangusa mpaka tumefanikiwa kupata nchi India kupitia Maagenti Kwa kuna changamoto zimejitokeza toka mwaka Jana

1.Ni zaidi ya mwaka sasa napigwa kalenda yaani sielewii?

2.Nimeambiwa Niko Kwa benchmark no 3 Kwa hiyo chuoni nitaenda mwezi wa Tatu mwakani kuepushana msongomano for fear ya covid (Corona)

Please wenye uelewa kuhusu hili nisaidieni ,chuo ni galgotias university
 
Navyojua kwa china ndo mpaka mwakan mwezi march Tanzanian students will start studying face2face.
nami nahusika na mambo hayo kwa wahitaji wa kusoma india, poland, china, malaysia n.k
Kwa msaada zaid tunaweza kuwasiliana PM
 
Napenda kuwasalimuni wote humu!! Mm mtanzania na familia yangu tumejipangusa mpaka tumefanikiwa kupata nchi India kupitia Maagenti Kwa kuna changamoto zimejitokeza toka mwaka Jana

1.Ni zaidi ya mwaka sasa napigwa kalenda yaani sielewii?

2.Nimeambiwa Niko Kwa benchmark no 3 Kwa hiyo chuoni nitaenda mwezi wa Tatu mwakani kuepushana msongomano for fear ya covid (Corona)

Please wenye uelewa kuhusu hili nisaidieni ,chuo ni galgotias university
Nnaye rafiki yangu ameondoka last month Sept na ameshaanza masomo India.
 
Napenda kuwasalimuni wote humu!! Mm mtanzania na familia yangu tumejipangusa mpaka tumefanikiwa kupata nchi India kupitia Maagenti Kwa kuna changamoto zimejitokeza toka mwaka Jana

1.Ni zaidi ya mwaka sasa napigwa kalenda yaani sielewii?

2.Nimeambiwa Niko Kwa benchmark no 3 Kwa hiyo chuoni nitaenda mwezi wa Tatu mwakani kuepushana msongomano for fear ya covid (Corona)

Please wenye uelewa kuhusu hili nisaidieni ,chuo ni galgotias university
Unaenda kusomea nini?
 
Back
Top Bottom