Wanaochepuka wananishangaza sana

Kwa hiyo hapo unawasaidia wanawake wenzio au imekaaje? Hebu tuanzie hapo
 
Aisee Mimi Ni mke hakuna kitu nilikua napinga kama kuchepuka
kutoka na stress za Mume nilizeeka kuliko mwil wangu Dada angu akanishaur tafuta mtu pemben angalau awe anakuliwaza
Nilikua mhanga sipati ujauzito 4yrs
Mpaka ikafikia hatua naulizia IVF
Mwez wa nane nimepata mchepuko mapenz motomoto mpaka nikawa siwazi stress za Mume kabisa
Akiniuzi namsamehe tu automatically sijaamini nimepata ujauzito baada ya kuhangaika miaka 4
Nimegundua stress ndio ziliniletea ugum a
nimerelax mwez tu na mimba juu ya Mume lkn maana mchepuko yuko mbali tulikua hatujakutana kimwili
So aisee kwa afya ya mwil na ndoa mchepuko unafaida yake aisee
 
Sometimes utoto raha sana,
Mtoa mada nahisi atakuwa mtoto akiwa katika kundi la wavulana, naamini umri ukifika huu uzi anaweza akaushangaa kama anavyotushangaa leo sisi kaka zake,
Na kwa faida tu, ni kwamba wanawake wengi wenye sura mbovu wamebarikiwa kuwa na neema ya K tamu na zenye kukonga roho za sisi kaka zako tufanyapo yeti,,
Naamini ukikuwa utaelewa
 
Kuchepuka Ni burudani Kama burudani nyingine.

Tunapenda tu kabadili ladha.

Muonekano mzuri hauhusiani na burudani ya kitandani.

Asilimia kubwa ya wenye mwonekano mzuri,
Ni wabovu Sana kitandani.

Nnaongea kwa experience, sio kwa kuskia Wala kusoma vitabu.
 
Back
Top Bottom