Wanaochelewa kupata watoto, wanachelewa kupata furaha....

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Habari zenu wakuu,

Nimekuwa na furaha sana kwa kipindi hiki ambacho mke na watoto wangu wamenitembelea kipindi hiki cha likizo yao.

Hakika ukipa mtoto, usiache kumshukuru Mungu kila kukicha.

Watoto huleta furaha ndani ya nyumba, faraja na amani. Watoto na mke wangu sasa ndio rafiki zangu wakubwa, sina upweke tena, najisikia furaha wanaponifuata kama kama baba na kujiona mshindi na shujaa ninapowajibika na kuwahudumia katika mahitaji na wajibu wangu kama Baba.

Hakika ni furaha sana, na wala sijatosheka kuwa na watoto zaidi kwakua nazidi kufurahia maisha mazuri kupitia Familia yangu.

Jamani, anayechelewa kupata watoto na mke mwema, anachelewa kufurahia maisha.
 
Mungu ndiye mpaji...anatoa na kwa wakati anaoona unamstahili mja wake kupata baraka za watoto...sie waumini wa imani ya kikristo tynafundishwa kuwa abraham alipata mtoto na mkewe sara wakiwa wazee mke akiwa na miaka 100....

je furaha haikuwako maishani mwao..la hasha...walijuwa na furaha tele hasa ukichujulia walikuwa wacha Mungu kwelikweli.

hitimisho...furaha ya kweli ipo ndani ya uhusiano wako na Mungu wala sio watoto.
 
Mpaji ni Mungu, wewe kama uliishapewa shukuru na wengine wataendelea kusubiri mpaka watakapewa kwa nafasi yao!
 
Mungu ndiye mpaji...anatoa na kwa wakati anaoona unamstahili mja wake kupata baraka za watoto...sie waumini wa imani ya kikristo tynafundishwa kuwa abraham alipata mtoto na mkewe sara wakiwa wazee mke akiwa na miaka 100....

je furaha haikuwako maishani mwao..la hasha...walijuwa na furaha tele hasa ukichujulia walikuwa wacha Mungu kwelikweli.

hitimisho...furaha ya kweli ipo ndani ya uhusiano wako na Mungu wala sio watoto.
...Mkuu this is so touching, ubarikiwe sana.

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ndiye mpaji...anatoa na kwa wakati anaoona unamstahili mja wake kupata baraka za watoto...sie waumini wa imani ya kikristo tynafundishwa kuwa abraham alipata mtoto na mkewe sara wakiwa wazee mke akiwa na miaka 100....

je furaha haikuwako maishani mwao..la hasha...walijuwa na furaha tele hasa ukichujulia walikuwa wacha Mungu kwelikweli.

hitimisho...furaha ya kweli ipo ndani ya uhusiano wako na Mungu wala sio watoto.
imani ehee subilia miaka mia moja zama hizi za dunia tambala bovu
 
Mkuu, kwa nini hukai na familia yako ili upate constant happiness. Pengine umefurahi kwa kuwa hauko nao mara kwa mara. Ungekuwa unaishi nao hapo wangeshakukera...
 
Back
Top Bottom