Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

kamsi kilelo

Member
Mar 27, 2017
78
146
Habari wana JF,

Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora.

Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa inaonyesha ni upande wa kushoto mwa gari, swali linaloniumiza kichwa na hata kuomba ufafanuzi ni vipi imetokea mpaka ndugu yetu adhurike zaidi mguu wa kulia badala ya wakushoto?
 
nilishahoji hili kwenye sred za Jana, niliambulia matusi kutoka kwa wale wanaotumwa kuhakikisha kuwa GT hawapati nafasi Ya kuhoji mambo yanayotakiwa kuhojiwa
 
Kwa hiyo wakati risasi zinapigwa alikaa tu kwenye kiti? Na hukusikia kuwa alihamia siti ya dereva? Ukitoka siti ya kushoto na kulalia ya kulia,unaexpose upande gani kwa mtu aliyekushoto?
Anyways, nisikuhukumu nisije nikahukumiwa ila uwe unatafuta majibu kichwani mwako kwanza kabla hujashirikisha wengine.
 
HAPO SAWA UNAYEJIITA GT?
 
Habari wana JF,
Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora.
Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa inaonyesha ni upande wa kushoto mwa gari, swali linaloniumiza kichwa na hata kuomba ufafanuzi ni vipi imetokea mpaka ndugu yetu adhurike zaidi mguu wa kulia badala ya wakushoto?
Niwe wa kwanza kukupa like kwa swali zuri fikirishi.
Ngoja waje.
 
Ukikaa siti ya kushoto mwa gari halafu ukageuka nakulala kifudifudi katikati ya siti ya dereva na ile siti uliyokua umekaa then mashambulizi ya risasi yakapitia mlango wa kushoto ulipokua umekaa,unadhani mguu upi/upande upi wa mwili utakua ni rahisi kupata madhara km risasi itapenya na kukufikia?
 
Habari wana JF,
Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora.
Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa inaonyesha ni upande wa kushoto mwa gari, swali linaloniumiza kichwa na hata kuomba ufafanuzi ni vipi imetokea mpaka ndugu yetu adhurike zaidi mguu wa kulia badala ya wakushoto?

Kwani inakuwaje kinachosababisha Ukimwi / Dally Kimoko huwa ni ' Kitufe ' kidogo tu cha ' Kibaiolojia ' lakini unaoathirika huwa ni ' mwili ' mzima Mkuu?
 
Habari wana JF,
Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora.
Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa inaonyesha ni upande wa kushoto mwa gari, swali linaloniumiza kichwa na hata kuomba ufafanuzi ni vipi imetokea mpaka ndugu yetu adhurike zaidi mguu wa kulia badala ya wakushoto?
Alilalia tumbo baada ya kufyatua kiti cha dereva, rejea maelezo ya dereva
 
Namna ambavyo Mh.Lissu ameokoka kutoka kwenye makucha ya kikosi kazi kisichojulikana kilichotumwa na dola lisilojulikana kuichomoa roho yake ni Mungu pekee ndiye ajuwaye.Alijibanza wapi,alilalia upande gani ili kuzuia asipigwe Risasi kifuani na kichwani ni yeye na Mungu wake aliyemuokoa ndiyo wanajuwa.Ulitaka awategee kichwa ili wamlipue kisha Lumumba yote ilipuke kwa shangwe na vifijo?
 
Habari wana JF,
Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora.
Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa inaonyesha ni upande wa kushoto mwa gari, swali linaloniumiza kichwa na hata kuomba ufafanuzi ni vipi imetokea mpaka ndugu yetu adhurike zaidi mguu wa kulia badala ya wakushoto?
Akija atasema ilikuwaje......tumuachie mwenyewe ataongea...tutamuuliza
 
Habari wana JF,
Ni jambo la kumshukuru mungu kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ameimarisha afya ya ndugu yetu Tundu Antipas Lisu kwa kiasi kikubwa nani matumaini yetu muda si mrefu atarejea katika shughuli zake za kila siku katika ubora.
Ndugu wa JF kutokana na uelekeo ambao gari lilishambuliwa inaonyesha ni upande wa kushoto mwa gari, swali linaloniumiza kichwa na hata kuomba ufafanuzi ni vipi imetokea mpaka ndugu yetu adhurike zaidi mguu wa kulia badala ya wakushoto?
Maswali mengine ya kijinga hata mtoto wa chekechea hawezi kuuliza!!
 
Back
Top Bottom