Wanandoa wenzangu hii ni kawaida au naibiwa?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Jirani na rafiki yangu amenieleza kuwa yeye na mke wake wanapendana na huwa pia anampa support kwa mambo yote including ku support watoto. Yeye ni mwanaume mwajibikaji kwa watoto na mkewe. Wote wanafanya kazi nzuri. Tatizo lake kubwa ni katika suala la unyumba ambalo kwa muda mrefu limekuwa uwanja wa migogoro. Anasema miaka minne ya ndoa yao walifurahia sana unyumba ila kuanzia mwaka wa tano hadi leo haoni kabisa kama mkewe anapenda sex. Mkewe kuna wakati anasahau kabisa kama kuna kitu kinaitwa unyumba na anaweza hata akapitiliza muda mrefu bila kuonyesha dalili kama ana hamu na mumewe. Ikitokea kuna w/shops au field work kazini kwa wife ndio kabisa hali inakuwa ngumu kwani wife hupata uchovu kupindukia ingawaje kazi zake ni za ukaguzi tu wa kawaida na hutumia gari ya kazini. Mumewe amejitahidi kila wakiwa kwenye mchezo kuwa creative na kuhakikisha wife anafikia peaks lakini bado wife hajawahi fanya initiative hata ya ishara za kiwanawake kuonyesha kama anataka mwenziwe ampe raha.

Huyu jamaa anataka kupata uzoefu wa wanaume wengine je hii hali ni ya kawaida kwa wanawake wote au anaibiwa.
 
Mhuuh hapo kuna mambo kibao ya kujiuliza kwani tatizo linaweza kuwa kwa mme au mke ila nashauri waende kwa washauri wa maswala ya ndoa wat awasaidia kwani kwa maswala ya ndoa inahitaji kuwasikiliza wahusika wote. Mwisho huyo mwanaume amchunguze mke wake mbona atagundua tuu.
 
ipo namna, na yawezekana yupo wa nje akila hakubakishii!
Au wewe hujui kuweza zaidi ya kumtesa huku mwenyewe ukimaliza mwepesiii
 
...Huyu jamaa anataka kupata uzoefu wa wanaume wengine je hii hali ni ya kawaida kwa wanawake wote au anaibiwa.
Naweza kusema kwa uhakika sio kawaida hasa katika kiwango ulichokielezea na hasa kama mwanamke ni mwaminifu. Kuna aspect ya umri hujaiweka wazi lakini nayo pengine ingeweza kutoa mwanga.

Kitabibu, sex drive ya mwanamke ipo chini ya ile ya mwanaume (generally). Lakini sex drive ya mwanamke inaongezeka na kufikia peak katika miaka around mid 30ies to early 40ies wakati ile ya mwanaume inashuka kutoka peak at around early/mid-twenties (basically zinakwenda vice versa katika kubadilika ingawa mara zote bado ile ya mwanaume inabaki kuwa juu ya ile ya mwanamke isipokua katika hiyo range ya 40ies ambapo ya mama inakuwa juu ya ile ya baba - assuming wana umri unaofanana).

So haya unayoyasema yanahitaji kuyatizama kwa upana zaidi....inawezekana anapata huduma mahala pengine (mind you at the peak of their sex drive women are more likely to go out with men in their twenties.....kama hawaridhishwi na huduma ya hapo home na pia hawana maadili mema!).

Dubai-20110614-00251.jpg
 
nadhani jamaa aajitahidi kufanya mambo yeye kama yey .. siamini kama wana maongezi mazuri kilugha kwai akikaa na kuongea nae zaidi kuna mengi atagundua na yawezekana kuna jambo ambalo limemkwaza mke
 
Ukiona hivyo ujue kuna sehemu anagawa penzi
pengine kuna mambo ambayo yaliyomuudhi hana hamu ya tendo tena.
kaa naye mzungumze (TANGAZO LA MAYENJE...........VUNJA UKIMYA
 
Back
Top Bottom