Wanandoa wanaongoza kutoa mimba

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Hawatumii kinga hivyo upelekea mimba za Mara kwa Mara., utafiti unaonyesha Tz katika wanandoa 100 ni1 tu hajawahi kutoa mimba.
Sababu kubwa za kutoa ni kutokuwa na lengo la kuzaa kwa mda huo.

Pia wengi wao uwa wanalea ni ngumu kupandanisha watoto, jitafakari ukweli unaujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemuacha ndani analia....
IMG-20190223-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom