Wanandoa wanaolala / wanaopenda kulala ' Uchi ' Ndoa zao hudumu mara zote huku wakiwa na furaha, nuru usoni na upendo mwingi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,675
2,000
Wale Wanandoa ambao mara kwa mara wamekuwa na tabia ya Kupenda Kulala Uchi / Watupu ( na Suti Maalum za Mwenyezi Mungu ) mara nyingi sana Ndoa zao huwa zinadumu huku muda mwingi wakiwa ni wenye furaha, nuru kubwa usoni na wenye upendo mkubwa sana kama siyo mno baina yao.

Sasa nyie endeleeni tu Kulala na Miboksa yenu michafu michafu na msiyoifua na Migagulo yenu bila kusahau Misidiria isiyofuliwa Wiki tatu mnapokuwa Vitandani mwenu halafu mdhani kuwa mtazifurahia Ndoa zenu. Kuanzia leo laleni tu Uchi ili Upendo wenu uzidi kama ambavyo Watafiti wamesema kama siyo kushauri ili baadae msije kusema mlikuwa hamjui.

Shikamooni Watafiti!!!!!!!

Nawasilisha.
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,583
2,000
Nyie mnalala uchi, mie mjengo unalala ndani ya papuchi nikiamka dushe linasimama linatelezea ndani basi daily ni Valentine tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom