Wanandoa kumbukeni kunyoana sio lazima tufungue saloon

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Eeehhh
hii ni kwa wanandoa tu wewe bado wala aikuhusu maana hata uyo unaetaka kumnyoa si wako bado wacha walioiiingia line watoe mawazo ya yanayowakuta la hasah kumbe jumatano basi na wewe waruhusiwa kutoa wazo

ni vyema wanandoa mkukakumbuka kunyoana sehemu nyeti ..kuna sehemu mbali mbali ambazo wanandoa tu ndio wanaweza faidi wenyewe kwa wenyewe si mbaya kumwacha mumeo kwapa limejaaa viroba vya nywele kama clemeeeentiii jamani ....na nyie wanaume angalieni wake zenu kila mara kwapa zao na sehemu nyeti mnazoonana wenyewe kwa wenyewe raha ya mvua mawingu bana sio msitu wa mande

msisubiri tufungue saloon za wanandoa muwe mnanyolewa ...tengenezeni vibubu weekeni kidogo kidogo mkanunue machine ila wakati huo nunuen topaz muwe mnanyoana

jamaniiiiiiiii clementineeeeeee ahsanete kwa tigo pesa
usiku mwema
 
hahaaa,kweli kabisa ina raha yake na pia inaamsha hisia kwa mke/mume. unajua kuna vitu viddogo vidogo tu unaweza ukavibuni ukawa/ mkawa mnafanyiana mara kwa mara walah utamwona mwenzio mpya kila siku.
 
HAHAAAAAHAAAAA! Nicheke kwa herufi kubwa ninenepe mie sina DENI na mtu !!!!!!!!! U made my day! Umenikumbusha mbaali enzi za topaz, siku hizi mambo ya GILLET
 
Haaahaaaaaa no avatpr ahsante kwa akunikumbusha ndio hicho cha kizungu ati unajua mwenzio nime upgrade nilienda kwenye machine za kizungu nikakutana na kichuma kizuri jamaaa anakwangua kichwani unakuwa na para kama yule mchezaji wa kikapu nba unamjua..so sikuhizi wala atuitaji umeme uwepo ama lah ati nakisafisha tu kachuma changu na spirit aku............ Free style

oa sio unafurahi tu raha garama ati...kama uamini nenda afrikasana uwambie wakunyoe uone bili zake kama awajakuchaji bili za saloon za sinza kunyoa kichwa 6000 incuding vat
 
Msisahau spirit lakini kabla na baada hii ni kujilinda wenyewe wapendwa
ulakucha
 
Haaahaaaaaa no avatpr ahsante kwa akunikumbusha ndio hicho cha kizungu ati unajua mwenzio nime upgrade nilienda kwenye machine za kizungu nikakutana na kichuma kizuri jamaaa anakwangua kichwani unakuwa na para kama yule mchezaji wa kikapu nba unamjua..so sikuhizi wala atuitaji umeme uwepo ama lah ati nakisafisha tu kachuma changu na spirit aku............ Free style

oa sio unafurahi tu raha garama ati...kama uamini nenda afrikasana uwambie wakunyoe uone bili zake kama awajakuchaji bili za saloon za sinza kunyoa kichwa 6000 incuding vat

P DIDY Me like u sanaaa!!! Nimeweka Avatar tayari waionaje? Mambo ya INDIA hayo! Umenivunja mbavuuuu! HAHAAAAAA HAAAAA nicheke tena kwa herufi kubwa mie! Kichuma cha kunyolea?!!! LOL!!! Ila hicho kama umezoe TOPAZ inabidi uwe muangalifu kunyolea kwingine, unaweza kukuta umepunguza VIUNGO vya mwenzio. Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja vitakushinda! Kweli Kucheka kuna gharama ngoja nikutumishie PACT YA GILLET toka MLIMANI CITY na Instructions Manual
 
Mkuu lara1
ni pm nikuonyeshe mpwa kuansehemu ya welding kinatengenezwa unakiangalia sio kama makochi yetu
karibu ukae unaona mandhari nzuri ya leather kumbe ndani umewekewa surplus loh
yaani dk 10 wakichukua test mwenyewe kwanza kama kinaumiza ama lah kabla ya mwenzio
changu kinaitwa"never seen""sijui chako utaitaje
 
Changu kinaitwa " I SEEN AND AFTER SEEING I DONT WANT TO LEAVE EVER!!!!! LOLEST!
 
Back
Top Bottom