Wanandoa hii vipi??

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
24,559
47,002
Mhmhhhhh
5e55eca5677a2ebbd6094b282401ba29.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Ukiona mwandani wako ametia kofuli la namna hii kwenye simu yake ujuwe kuna muamala anataka kufanya upo pending
 
Ndugu yangu,siku hizi sio lazima hakuwekee makufuli hivo,anaweza kuwa na simu ambayo hujawahi kumuona nayo tokea umuone mwaka 1971.(tena huyu anakwambia kabisa "baby simu yangu ikiita pokea tu mi naenda Mlimani city.)
loh password zishapitwa na wakati...........sasa hivi kuna simu za michepuko hiyo simu njia kuu haijui kamwe.
 
Ndio namshangaa huyu,anavizia kuona amewekewa hivo ndio ajue anazunguukwa .... wakati kuna mademu wana simu hazijawahi kufika home.
 
nadhani bado hajajua..........anatakiwa kujua siku hizi kuna mbinu mpya na hata wanaume wanaitumia hiyo.
 
loh password zishapitwa na wakati...........sasa hivi kuna simu za michepuko hiyo simu njia kuu haijui kamwe.

Ndugu yangu,siku hizi sio lazima hakuwekee makufuli hivo,anaweza kuwa na simu ambayo hujawahi kumuona nayo tokea umuone mwaka 1971.(tena huyu anakwambia kabisa "baby simu yangu ikiita pokea tu mi naenda Mlimani city.)
Watu wazoefu teh teh teh
 
Ndio namshangaa huyu,anavizia kuona amewekewa hivo ndio ajue anazunguukwa .... wakati kuna mademu wana simu hazijawahi kufika home.
Hizo simu zinaachwa wapi, halafu hapa nazungumzia wanandoa, sio wachumba
 
zinaachwa ofisini.........wengine kwenye buti la gari......mchepuko unakuwa unajua kama uko married so lazma awe na discipline na mwelewa kuwa nazima simu kwa sasa mpaka kesho..........akiwa ofisini basi anachat na mchepuko bila wasiwasi.

maskini kumbe haujui...........pole.
 
Na hayo niliyosema yanafanywa na wanandoa si wachumba.Kuachwa wapi inategemea na shughuli ya mwenzako ni ipi,kama ni mama wa nyumbani huyo ndio shida kabisa,kwa kifupi hakuna kanuni ya kumzuia binadamu asikusaliti,ila ni kumuomba mungu tu.
 
maskini kumbe haujui...........pole .

Unanisikitikia kwa lipi haswa, kwa mimi kutokujuwa mbinu hizi za wazinzi wewe utakuwa sio mzima kwa kweli mbona ni ukilaza hivyo, sio kila mtu ana hulka na umalaya,
 
Na hayo niliyosema yanafanywa na wanandoa si wachumba.Kuachwa wapi inategemea na shughuli ya mwenzako ni ipi,kama ni mama wa nyumbani huyo ndio shida kabisa,kwa kifupi hakuna kanuni ya kumzuia binadamu asikusaliti,ila ni kumuomba mungu tu.

Umenena mkuu
 
sister umenikumbusha mbaki last, hii mbinu ni nzuri ila wahusika anatakiwa wahusika wawe matured.
zinaachwa ofisini.........wengine kwenye buti la gari......mchepuko unakuwa unajua kama uko married so lazma awe na discipline na mwelewa kuwa nazima simu kwa sasa mpaka kesho..........akiwa ofisini basi anachat na mchepuko bila wasiwasi.

maskini kumbe haujui...........pole.
 
Mi hadi simu yangu ikiita inaandik private no calling hadi uswipe finger print ndio uone jina, kuhusu gallary sms phone book call reguster multiple password access from fingerprint to password..ni simu yangu sio ya familia, ikiwa mi nafanya kazi we kila siku kufuatilia tu na ugomvi what should i do..kama kuna hiyo haki ikatafsiriwe mahakamani
 
Unanisikitikia kwa lipi haswa, kwa mimi kutokujuwa mbinu hizi za wazinzi wewe utakuwa sio mzima kwa kweli mbona ni ukilaza hivyo, sio kila mtu ana hulka na umalaya,
Nimesikitika kwa kuliona hilo geni kwako.
afu usipanic bwana............wiki ya xmass hii huna haja ya kuongea maneno mazito wakati Yesu karibia anazaliwa......cheerssssssss.
 
Hahahaha sawa mkali wao, ila usinisikitikie kutojuwa kufanya dhambi, unajuwa yesu hapendi tutende dhambi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom