tatizo uvumilivu umetoweka kbs siku hizi!hakuna anayetaka kushindwa kati ya mume na mke...Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?
Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
mjane hutumika sana huku znz sawa evelyn!
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?
Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
Ni kuzuia wanaume wasife tu,je hilo liko ndani ya uwezo wako?
Utafiti mdogo tu hata kwa kuhoji watu watatu tu inaweza kukusaidia kuleta mada zinazoleta maana hapa jukwaani.
Ujane na ndoa kuvunjika wapi na wapi?
mjane hutumika sana huku znz sawa evelyn!
ndio bana
unajua lahaja? huku kwetu zanzibar m2 alie achwa huwa anaitwa mjane na mtu aliefiwa na mume pia huitwa hivyo hivyo so usowe na tabia ya kucremu sawa mkuu soma ujueNi kuzuia wanaume wasife tu,je hilo liko ndani ya uwezo wako?
Utafiti mdogo tu hata kwa kuhoji watu watatu tu inaweza kukusaidia kuleta mada zinazoleta maana hapa jukwaani.
Ujane na ndoa kuvunjika wapi na wapi?
Ndoa ya jamaa yangu hata mwaka haijamaliza, wameachanaNikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?
Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
Mhhh....Ngoja niende library nikasake kamusi ya kiswahili ndio niielewe hii kitu iliyoandikwa hapo juu!Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa? Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa