Wanandoa changieni hii

ngome

JF-Expert Member
May 18, 2014
234
97
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?

Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
 
tatizo uvumilivu umetoweka kbs siku hizi!hakuna anayetaka kushindwa kati ya mume na mke...
 
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?

Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa

Ni kuzuia wanaume wasife tu,je hilo liko ndani ya uwezo wako?
Utafiti mdogo tu hata kwa kuhoji watu watatu tu inaweza kukusaidia kuleta mada zinazoleta maana hapa jukwaani.
Ujane na ndoa kuvunjika wapi na wapi?
 
Msamehe bure Ennie
 
Last edited by a moderator:
mjane hutumika sana huku znz sawa evelyn!

Heh!
Waalimu wa kiswahili waje watusaidie hapa,huo ndio ukanda wa pwani tunakoaminishwa ndio chimbuko la kiswahili wanaita walioachika wajane!!!
 
Yaani mwanamke ameachika mwaka mmoja tangu aolewe halafu anaitwa mjane ?
Ngoja nirudi shuleni kwanza.
 
Ni kuzuia wanaume wasife tu,je hilo liko ndani ya uwezo wako?
Utafiti mdogo tu hata kwa kuhoji watu watatu tu inaweza kukusaidia kuleta mada zinazoleta maana hapa jukwaani.
Ujane na ndoa kuvunjika wapi na wapi?
unajua lahaja? huku kwetu zanzibar m2 alie achwa huwa anaitwa mjane na mtu aliefiwa na mume pia huitwa hivyo hivyo so usowe na tabia ya kucremu sawa mkuu soma ujue
 
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa?

Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
Ndoa ya jamaa yangu hata mwaka haijamaliza, wameachana
 
Heh!
Waalimu wa kiswahili waje watusaidie hapa,huo ndio ukanda wa pwani tunakoaminishwa ndio chimbuko la kiswahili wanaita walioachika wajane!!!

ndio tembea uyaone ww
 
kama nyinyi mnasema mjane ni wanamke aliefiwa na mume je mwanamke alieachika anaitwaje?
 
Nikwa nn watu wengi huingia katika ndoa na muda mfupi wanaamua kuvunja ndoa? Je nn kifanyike ili kuepusha wajane mitaani ? pls mchango wako unahitajika ili kuokoa watu wanaotaka kuingia ktk ndoa
Mhhh....Ngoja niende library nikasake kamusi ya kiswahili ndio niielewe hii kitu iliyoandikwa hapo juu!
 
Back
Top Bottom