Wananchi wilaya ya Kwimba wamkataa Mkuu wa Wilaya mbele ya Waziri Mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,751
141,613
Huyu ni mkuu wa wilaya wa pili kukatataliwa, alianza yule wa Musoma na leo ni huyu wa Kwimba, bado najiuliza hawa maDC wanaponzwa na nini hasa?....Yule wa Musoma alikataliwa na makada wenzake wa CCM kwa kushindwa kuwapa ushirikiano. Huyu wa Kwimba wananchi wamemkataa kwa tuhuma za kuwalimisha katika mashamba yake binafsi. Source ITV habari!
 
Eheee ndio yaliyo toka huko kumbe, huku TANESCO wamefanya yao toka saa kumi mbili ni giza totolo
 
Back
Top Bottom