Wananchi wenye hasira kali

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,444
9,471
NIME E-COPY PAHALA

Kilichobaki kwenu ni Mungu kuwatamkia kauli moja tuu...

"Mene Mene tekeri na Peresi !" Maana yake; Utawala wenu umepimwa na umeonakana na mapumgufu makubwa! Na kisha ukachunguzwa ukakutwa umepungua na tena umegawanyika!

HUU UJUMBE UNADHANI UNAWAHUSU KINA NANI?
 
wordpress.jpg
 
ohooo..!! lbd taifa kutoka juu.! lkn sidhani huenda ikawa ni watu walozungukwa na mito,maziwa na bahari
 
NIME E-COPY PAHALA

Kilichobaki kwenu ni Mungu kuwatamkia kauli moja tuu...

"Mene Mene tekeri na Peresi !" Maana yake; Utawala wenu umepimwa na umeonakana na mapumgufu makubwa! Na kisha ukachunguzwa ukakutwa umepungua na tena umegawanyika!

HUU UJUMBE UNADHANI UNAWAHUSU KINA NANI?
Mfalme belshaza Wa babeli aliona mkono ukiandika hayo maneno kwenye ukuta..

Mkuu hivi ilo andiko lipo kwenye kitabu gani?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom