Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Wanachi kwa umoja wao wanaweza.....
ama hujui maana ya nguvu ya umma
hiyo nguvu ya umma imezuia mipango gani ya serikali?
hiyo nguvu ya umma inayolalamika mitandaoni lakin hakuna anaejitokeza field kuonyesha msisitizo?
Hakuna nguvu ya umma inatoka kwa jamii ya waongo na wanafki.
ndio maana serikal inafanya wanavyotaka na hakuna wa kuigusa
 
Yaani legacy ya upumbavu halafu inaungwa mkono na wananchi wengi!

Una maana taifa lina wapumbavu wengi!

Kuita watu wengi ni wapumbavu ndio upumbavu wenyewe!

Hoja yako haina mantiki yoyote!
Upumbavu ni upumbavu tuu na huondolewi na quantity ya wanaounga mkono
 
Unataka evidence ambayo inapatikana baada ya miaka 5 mpaka 10?

Chanjo imetolewa katika mazingira ambayo ni emergence administered ili kuokoa uchumi halafu bado unataka evidence wakati side effect ya muda wa miaka 5 mpaka 10 haijulikani!
Dawa ipi ambayo haina side effect?
unadai side effect itaonekana baada ya miaka mitano au 10?
uko kwenye team ya research ya chanjo au umeandika tu random guess?
umeshawah kushiriki utengenezaj wa chanjo yoyote au unasoma online articles tu?

for the record tu side effect zilianza kuonekana mapema in first year.
but it doesnt mean watu waache kutumia kisa ya side effect.

yest miaka mitano au 10 bado haijafika.. lakin unadai side effect? zipi?
mlienda future mkaona itakuwaje?

but then kama gwajima hama evidence ana bwabwaja random things tu? anafanya hivyo ili iweje?
 
Kiswahili ni lugha nyepesi kwangu. Lakini wewe unaleta ulimbukeni wako wa jiwe, na jiwe wako ameshaenda harudi tena

Nani amekuambia kuwa jiwe atarudi au ni wapi nimesema atarudi?

Ndio maana nimekuambia una tatizo la uelewa! Jielimishe kwanza kabla kuingia kwenye masuala ambayo yako juu ya uwezo wako wa utambuzi(comprehension).
 
Nani amekuambia kuwa jiwe atarudi au ni wapi nimesema atarudi?

Ndio maana nimekuambia una tatizo la uelewa! Jielimishe kwanza kabla kuingia kwenye masuala ambayo yako juu ya uwezo wako wa utambuzi(comprehension).

Endelea kuweweseka, maisha yanasonga mbele
 
Hahah such clown, thinking you know so much than most people about the vaccines?. We'll Never give in to their coercion or fear, once they put it in your blood, it cannot be removed. I am not getting it regardless and the more government tries to force it the more resistance. It's that simple.

Wewe unaona vaccines hazina shida kachome na familia yake usiwe na hasira au wivu kwa wale ambao hawajachoma, wakifa itaku athiri nini wewe? Sababu wewe ukichoma si unakuwa salama na familia yako? Then do just that to stay safe, but the majority have spoken hawataki chanjo. Don't blame it on Magu.

 
Hoja dhaifu sana hii kuchukulia data za mitandaoni kuwa ndio sauti ya wote. Hatuwezi kuwa upande wa upotoshaji kuwa ndio ulioshinda. Huwezi kutofautiana na Chama na Serikali yako mwenyewe huwezi jiuzulu na utoke au uanjishe chama chako.

Unatofautiana vipi na chama na serikali wakati wamesema chanjo ni hiari? Lini walisema chanjo ni LAZIMA?
 
Back
Top Bottom