Wananchi wavamia ofisi za CCM, wavunja uzio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wavamia ofisi za CCM, wavunja uzio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Jan 12, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,130
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Vurugu kubwa zimeubuka eneo la Mbagala Kiburugwa, jijini Dar es Salaam, baada ya wananchi wenye hasira kuvamia jengo la ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kubomoa ukuta wa uzio.

  Vurugu hizo zimeibuka kufuatia kuwepo kwa mvutano kati ya wananchi na CCM kuhusu nani mmiliki na msimamizi halali wa kisima cha maji. Kisima hicho kilikuwa mikononi mwa kikundi cha wanaCCM baada ya kukimiliki kwa miaka saba.

  Mvutano huo uliibuka baada ya wananchi hao kuunda kamati ya maji ya muda na kuiondoa kamati ya zamani kwa madai ya ubadhirifu, lakini uongozi wa CCM ulipinga hatua hiyo na kudai kisima hicho kilichopo ndani ya eneo lao hawatakubali kuona wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakienda eneo hilo kwa mgongo wa kisima.

  Taratibu mwisho tutavirudisha viwanja vyote vilivyotaifishwa na CCM.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Nadhani tunakoelekea watu wataanza kutembea na 'viazi' mfukoni.

  unakuwa kama unapita tu. unakirusha. wanaisoma.
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mhhh...Vitu Hivyo Fuateni Dowans Watawalipa...
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Tutachomana moto hivi karibuni bongo, wananchi wamechoka!
   
Loading...