technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kwa mjibu Wa Rais ni kuwa fixed deposit account ni mbaya na zinasababisha ufisadi kwa maafisa Wa Serikali na Bank .
Hivyo mwananchi akifungua anawapa ulaji watu Wa bank .
Si tumeamua kupambana na ufisadi nashauri watu waache kufungua deposit account chukueni pesa zenu wekeni kwenye vyama mbali mbali mtaani maana mkifungua deposit pesa zinaibiwa na maafisa Wa bank kwa mjibu Wa rais.
Kichekesho kwa serikali ni kuzifungia pesa BOT na wananchi zifungieni pesa zenu kwenye vyama .
Eti hoja ni kuwa serikali uenda uko bank kuzikopa kwa riba kubwa!!
Hivi serikali haijiulizi ni watu wangapi wana fixed deposit account bank lakini bado wanaendelea kukopa kwenye hizo hizo bank kufanya mambo mengine?
Hivi mtu kama Mengi anakosa kweli fixed account bank? Je ni kweli hawezi kukopa bank? Akiwa na hiyo fixed deposit account?...
Sana sana sasa hivi kitakachofuata ni kuongeza makato kimya kimya ya bank transaction ili kuwabebesha mzigo wateja Wa kuzinusuru bank zisife moja kwa moja..
Swali ni kwamba kwa nini huu mzigo ubebwe na mwananchi pekee huku serikali ikijiweka pembeni wakati ndio yenye pesa kuliko watu Wa kawaida?