Elections 2010 Wananchi wasambaratishwa Nyamagana

Tayari sasa wanataka kuchakachua, na kama ni kweli JK mtu wa visasi na maneno ya kisanii ambayo hayajawahi kuthibitika katika vitendo, yuko MZA sasa inakuwa kweli kuwa CCM ndiyo itakayo sababisha damu kumwagika. Well, JK afahamu tu kuwa mara nyingine amani ya kweli itapatikana kwa kumwaga damu!
 
Hawa wasitake kuchezea amani ya nchi yetu kwa ubinafsi wao. Ni bora wao wachache waangamie watuachie nchi yetu ikiwa na amani. Ee Mungu ibariki nchi yetu, tuepushe na hila za waovu hawa.
 
JK akisababisha umwagikaji wa damu asidhani ni wanachama wa Chadema tuu watakao poteza maisha, hata wale waliompa kura na wakwere wenzake pia wataathirika hata kufa. Masha Nyamagana wamemkataa nini kulazimisha!
 
nyie mbona mnapenda kutushia amani?hakuna atakaye mwaga damu kma mna weza jaribuni muone
 
BBC inasema kuwa vijana wamerudi kwa nguvu kushinikiza matokeo yatangazwe na askari wameamua kuwa wapole na kuanza kuzungumza nao wameacha kutumia nguvu.
 
yani zinatafutwa kila mbinu,kuingiza umafia pale!!
watu wanapitia barabara ya nyakato sasa!!hapafai
 
Jengo la CCM lachomwa moto Mwanza

Source Start TV five mins back.
 
Hawa wasitake kuchezea amani ya nchi yetu kwa ubinafsi wao. Ni bora wao wachache waangamie watuachie nchi yetu ikiwa na amani. Ee Mungu ibariki nchi yetu, tuepushe na hila za waovu hawa.
Nyie mnaojidai kutoa vitisho hamna maana yoyote, nyie ndio waoga km kunguru muoga, fujo zikianza mnakuwa wakwanza kujifungia ndani kwenu, acheni vitisho vya kuandika post huku mmeficha majina yenu, km kuna kidume kweli humu ndani andika jina lako kamili na vitisho vyako ndio utajua maana ya umwagaji damu
 
Back
Top Bottom