Wananchi wapambana na polisi Bunda

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Askari wa jeshi la polisi mjini Bunda wanawapiga mabomu wanchi wenye hasira kali wanaowasaka majambazi waliomvamia mwalimu wa shule ya msingi na kumuua usiku wa kuamkia leo. Haadi ssasa majambazi watatu wameishauawa.
 
Sheria zimekuwa ngumu kutekelezeka, watu wanachukua maamuzi mkononi na raia wameshazoea kuwa ni haki yao kutekeleza sheria.

Uhalifu kuongezeka kwa kasi ni tatizo kubwa sasa....

 
Back
Top Bottom