Published on 27 Nov 2012 by ITV TANZANIAZaidi ya wakazi elfu mbili wa jamii ya wafugaji katika kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakiwa na silaa za jadi zikiwemo mishale mikuki na marungu wamevamia na kuondoa nguzo za mipaka iliyowekwa na shirika la hifadhi za taifa (TANAPA) kwa madai ya kuvamiwa na kunyany'anywa ardhi yao.
Wanakijiji wanadai kijiji chao kina title deed lakini wanashangazwa na hatua ya TANAPA kubadili mipaka kila mara bila kujali title deed ya kijiji na maisha ya wanakijiji kwa ujumla. Mwisho wanakijiji hao walingoa ' becons' wa kuonyesha 'maeneo' ya TANAPA na kuondoa nzao ktk lori.

Last edited by a moderator: