Wananchi wangekuwa wanawajibisha wabunge. Mpaka sasa nani angekuwa amewajibishwa??

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Naanza na mbunge wa ULANGA angekuwa nje sasa.. ongeza wako.......!!
 
Wabunge walioenda Dodoma kwa ajili ya nyama choma badala ya kujadili mambo muhimu ya wananchi!
 
80% ya wabunge wa kijani na njano wangekuwa wameshang'oka mpaka sasa wakiongozwa na Joka la Makengeza.
 
Tibaijuka bk. Ngereja sengerema! Vjisent Chenge Endrew. kulialia bunge licionyeshwe! na nk wàkijani
 
Back
Top Bottom