Wananchi wanaojua kuhusu Bajeti Tanzania ni wachache mno | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wanaojua kuhusu Bajeti Tanzania ni wachache mno

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bollo Yang, Jun 13, 2011.

 1. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani,

  Naangalia TBC1 hapa kipindi cha usiku wa habari, mtangazaji anawahoji wananchi mbali mbali kuhusu bajeti kama wanajua maana yake au kama wamesikia kama bajeti imeshatangazwa, 98% ya waliohojiwa wanasema hawajui bajeti ni nini nawala hawajui kama bajeti ya Tanzania imeshatangazwa! na pia hawajui kama kuna kikao cha bunge kinaendelea.

  Nahisi kuna umuhimu wa elimu ya uraia kutolewa zaid kwa jamii!
   
Loading...