Wananchi wanahitaji kuelimishwa kuhusu Katiba Mpya na sio Maandamano

Sasa mbona chadema ndio wanaoonekana wana uhitaji mkubwa wa hiyo katiba kuliko vyama vyote au kuliko wananchi wote.?
Huo ni mwono wako binafsi na wewe sio spokesperson wa chadema au watanzania,KATIBA kubadilishwa au la SIO uamuzi wa chama dola.
 
Boss acha kujifanya huna akili, hv tofauti na Chadema ni chama gani kingine kinachopigania katiba mpya.? Ndio maana nasema inaonekana katiba ni ya chadema na sio ya taifa
 
Mtu kusema hana chama sio dhambi, mimi cjawah kupiga kura wala kujihusisha na mambo ya kisiasa na haitoweza kutokea mimi kuwa na mambo hayo, ila ukweli ni kwamba wananchi wengi hawana elimu kuhusu hiyo katiba mpya na ndio maana muitikio wa katiba mpya inafanywa na Chadema tuu, kama hawaruhusiwi kufanya mkutano bc watafute njia nyingine ila sio maandamano
unaonaje ungenyamaza kwa muda hadi hapo utakapokuwa na akili timamu. mtu anayesema hajihusishi na siasa na hapigi kura ni kama tu mifugo mingine
 
Binafsi sina ushabiki wa chama chochote hapa nchini ila huu ni ushauri wa bure kwa chadema na wote wanaohitaji katiba mpya.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mali ya watanzania na sio ya vyama vya siasa. Ila chadema wanachotaka kuonyesha dunia ni kwamba wanahitaji katiba iwe mali ya chama (chadema) kuthibitisha hilo ni kwamba kuna wananchi wengi sana hata hawajawahi kusoma katiba inayotumika sasa wala hiyo katiba mpya, sasa mtu kama huyu huwezi kumuingiza barabarani kisa kupigania kitu ambacho hakijui.

Ingekuwa vizuri kama chadema na wengine wengi wanaohitaji katiba mpya waelimishe wananchi umuhimu wa hiyo katiba mpya ili mtu ajue anapigania kitu gani bila kusahau wao viongozi wote kuwepo eneo husika na sio mwingine yupo America akichangisha watu pesa ili afanye safari kuichafua nchi na mwingine yupo Africa na ulaya kuwahamasisha watu waandamane huku familia zao zikila chakula mara tano kwa siku.

Kuna kipindi Lissu pamoja na Mbowe waliwahi kuwaambia watu wasipokee vitu kutoka serikalini, hivi mtu asipopokea maendeleo hapo hasara ni ya nani.? Mfano ujenzi wa reli ya kasi inajengwa halafu mwananchi anaenda kuiba reli hapo hasara ni ya nani.?

CHADEMA mtaendelea kulia kuonewa mpaka mwisho wenu lakini elimu kwa wananchi ndio jambo la msingi kuliko maandamano.

Ifike mahali katiba ipambaniwe na wananchi na sio chama cha siasa.
Elimu itolewe kwa wananchi kupitia njia ipi, ndugu mwananchi mwenzangu?
 
Halafu hii elimu ilisha tolewa na ile timu ya Jaji Warioba kwa kupita pita kwa wananchi hadi kuipata Katiba Pendekezwa hadi kufika kwenye lile Bunge lililo TU COST walipa kodi mihela mingi!
Rais kasema tusubiri, ni kweli tusubiri kwani hii shughuli ni gharama sana kwani kuna posho nyingi za vikao na hizo ndiyo zinalengwa na Mbowe na CHADEMA yake.
 
Back
Top Bottom