Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
Katika Jiji la Mwanza wananchi katika Makazi ya sehemu Mbalimbali Nyakato,Nyamongoro,Kisesa,Buswelu,kishiri ,Igoma. Nyumba nyingi za Makazi hazijaunganishiwa Umeme kutokana na changamoto ya Tanesco Tawi la Nyakato KUISHIWA NYAYA ZA KUUNGANISHIA UMEME.
Waziri Mpya wa Nishati anza na hili La Tanesco hasa katika maeneo ya Mjini wananchi imekuwa ni kero kupata umeme sababu zimekuwa nyingi kama surveyor wachache, Nyaya kuisha, nguzo hakuna, meter kuisha.
Unganisha nyumba nyingi hasa katika mjini muweze kupata mapato mazuri ya tozo