Wananchi wakataa shule ya kata yao kuitwa jina la Mbunge

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Picha ya Ndege, Kibaha.

Wananchi wa mtaa wa Sofu kata ya Sofu, wamekataa shule ya kataa kupewa jina mbunge, ambae ni mbunge wa jimbo la kibaha mjini. Kufuatia kikao cha mtaa huo kilicho fanyika majira ya jioni kikiwa na ajenda kadhaa,

ndipo wananchi wakahoji jina la shule iyo ya sekondari ambayo ilijengwa kwa nguvu ya wanachi kwa kushirikiana na serikali na kuzinduliwa na mbio za mwenge zilizo fanyika mapema mwaka hu. Awali kukiibuka fununu ya kuwa shule iyo imepewa jina la mbunge wa jimbo ndipo wananchi wakaanza kuhoji uhalali wa shule iyo kuitwa jina la mbunge ikiwa wao hawaja pendekeza jina ilo.

Mpaka kigikia tamati ya kikao icho wananchi waliazimia kupinga shule iyo kuitwa jina la Mbunge.
 
Picha ya Ndege, Kibaha.

Wananchi wa mtaa wa Sofu kata ya Sofu, wamekataa shule ya kataa kupewa jina mbunge, ambae ni mbunge wa jimbo la kibaha mjini. Kufuatia kikao cha mtaa huo kilicho fanyiaka majira ya jioni kikiwa na ajenda kadhaa,

ndipo wananchi wakahoji jina la shule iyo ya sekondari ambayo ilijengwa kwa nguvu ya wanachi kwa kushirikiana na serikali na kuzinduliwa na mbio za mwenge zilizo fanyika mapema mwaka hu. Awali kukiibuka fununu ya kuwa shule iyo imepewa jina la mbunge wa jimbo ndipo wananchi wakaanza kuhoji uhalali wa shule iyo kuitwa jina la mbunge ikiwa wao hawaja pendekeza jina ilo.

Mpaka kigikia tamati ya kikao icho wananchi waliazimia kupinga shule iyo kuitwa jina la Mbunge.
Alichangia sh ngapi mpaka ipewe shule jina lake?Hizo promotion hazifai wako sahihi kabisa wananchi!
 
Huyu atakua silvesta huyu!!!!!
Code:
red
JamiiForums2047296491.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
huu utamaduni wa shule za serikali kupewa majina ya watu ufutwe
Naunga mkono hoja hili ni jambo baya sana kwa sababu linaua historia ya maeneo mbalimbali, mfano daraja la Wami unaligeuza na kuliita Sumaye au Malechela Bridge why???
 
Wananchi wanazidi kuamka.ule ujinga wakiburuzana unazidi kupungua.Wako sahihi sana hao wananchi.Kama kuna mtu anataka kujipendekeza kwa mbunge ajenge shule yake aliite hilo jina la mbunge.
 
Back
Top Bottom