Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.
Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.
Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.