Wananchi waanza kuiogopa Chadema kama ukoma

Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

Naona wengine mmeamua kutumia mkakati wa hitler kuwa uongo ukirudiwa sana unageuka kuwa ukweli, safari hii tafuteni staili nyingine, wadanganyika, HAWADANGANYIKI TENA, ujinga wakati wa kwenda sio na kurudi uwemjinga.
 
Wacheni jazba ,ukweli usemwe na msiwe wakereketwa kama waCCM ambao wamekunywa maji ya bendera ,hivi mnataka kusema ndani ya CHADEMA hakuna mgogoro unaochimbuachimbua kama mchwa ?? au ni siri ? Maana mwanzo mlikuwa mnaficha lakini kila siku zikienda mambo hadharani ,wadau wacheni jazba Chadema ni wapita njia au waganga njaa kwa luga ingine ni wadini waliobobea

Mkuu hongera kwa hii post. Wewe huo mgogoro umeuona wapi? Kama una mtu wako wa ndani huko Chadema aliyekwambia kuna mgogoro mwambie akwambie kabisa unahusu au ni juu ya nini halafu ndio uje uandike hapa!!! La sivyo unaonekana mzushi tu!!!

Tiba
 
Wanalalamika wakina nani? cze wanachama makini tumetulia na haya yanayo semwa ni MAWIMBI YA KIKOMBE TUUU NA KAMWE HAYAWEZI ZAMISHA KIJIKO!!!!!! CDM tupo imara tuna weza yumba kidogo ila si kuanguka
 
nadhani, una matatizo ya uelewa wa mambo, baki hivyo hivyo ila gharama yake ni kubwa sana, na utailipa tu. CCM inatofauti gani na mradi wa watu wachache? au na wewe upo nini?...
 
MOD nadhani kuna haja ya watu kumeet min condition kujiunga na hii forum.

Ni wazi kabisa mtu amesikia maneno hayo je alivyoleta hapa anatazamia tija gani? Hivi kama yeye ni mshanbiki wa CCM au hao walioto comment anategemea kuwa watakuwa na comment nzuri kuhusu wapinzani wao CDM? Ni wazi unataikiwa upime agenda wakati unaileta hapa JF iwe objective kumbuka JF si mahali pa washikiwa akili. Hatujadili hear only fact which can be independently verified. say get it siyo swala la ushabiki hata kidogo!

MOD wafanye nini kwani kuna ubaya gani mtu kuanzisha forum yenye kuelezea mapungufu ya CDM? Au inapojadiliwa mapungufu ya CDM mnaomba watu wapewe ban ila ikijadiliwa mapungufu ya CCM, CUF mnaona sawa even if hiyo habari saa zengine zinakuwa za uongo na uzushi? Kuwa Great Thinker mkuu!!!
 
Wishful thinking... Pole wee...

Jadili hoja Mzee; haki/wajibu wa wananchi, katiba mpya, uadilifu, elimu, afya, matumizi mazuri ya maliasili zetu, n.k.

'Waliofilisika kisera hupenda kukimbilia hoja za udini na ukabila'- Mwl Nyerere.

Wanajibainisha wenyewe na ndoa yao, kwa mtindo wa 'mtetee mwanandoa mwenzako kadri uwezavyo'...
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.
hata sisiem migogoro ipo sijui tukimbilie wapi
 
Mwiba kugongana baina ya watu iwe ni ndani ya chama, makanisa,misikiti,jumuiya etc. ni jambo la kawaida. Hakuna anayekataa kwamba hakuna migongano ndani ya Chadema ni jambo la kawaida kwani wao malaika jamani kila mwanadamu ana mapungufu. Iwapo vikombe vinagongana itakuwa mwanadamu?? Wakati mwingine watu tuwe waungwana kidogo sio mnafika conclusion eti wananchi wanajuta kukipa kura Chadema kwani CCM hawana migongano?
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

haha haha ha ha ha ha ha kweli CDm wmaka huu itawatoa kafyongo tafadhali tupe source ya hii taarifa yako Mwiba ,naona munaipaisha Chadema chat si kawaida
 
Unafiki hautaisaidia nchi yetu, jamani Chadema ni wakombozi na mapambano yanaendelea.
 
Naona jamaa anaifananisha CHADEMA na CCM. Ccm ni chama ambacho kinaogopwa kama ukoma. Watu hasa vijana wanaogopa kujiingiza kwenye mijadala ya kawaida na kujionesha kama wana CCM kwani wanaogopa kwa maovu ya ccm.
 
Unataka chanzo we unaishi dunia gani,yaani una macho na masikio lakini huoni wala husikii ,pole sana ,Haya shee Yaaya kasema Slaa na Kikwete watakuwa marafiki karibuni !!! Au hujasoma ?

dr slaa kwani amekuwa kilaza zitto kabwe kuwalamba miguu mifisadi?
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

CCM na kahaba lake CUF ndiyo vimeeanza kuogopwa kama ukoma. tazama tu kura zao mwaka huu zilivyoporoimoka. Kuna ushahidi mwingine kuliko huu?
 
Naona jamaa anaifananisha CHADEMA na CCM. Ccm ni chama ambacho kinaogopwa kama ukoma. Watu hasa vijana wanaogopa kujiingiza kwenye mijadala ya kawaida na kujionesha kama wana CCM kwani wanaogopa kwa maovu ya ccm.
 
Kuna watu bado wanamwamini sheikh Yahya mpaka leo. Mungu wangu.
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

Usiseme wananchi walio wengi, sema wewe binafsi. Wananchi walio wengi wanaona viongozi wa CHADEMA wamekuwa wapole mno dhidi ya CCM. Kama si subira ya viongozi wa CHADEMA, wananchi walio wengi wana hasira kubwa juu ya CCM na serikali yake kwa kupora kura za CHADEMA na walikuwa tayari kuonesha hasira yao kwa kufanya maandamano ya kuonesha kutokuridhishwa kwao na udhalimu uliofanywa na tume ya uchaguzi.

Kwanza ukweli ni kuwa hakuna MBUNGE wa chadema ambaye alibaki ndani ya bunge kumsikiliza JK. Wapo walioingia bungeni lakini wakatoka wakati JK alipoanza kuhutubia, na wapo wale ambao hawakuingia kabisa - ukweli ni kuwa hakuna mbunge hata mmoja aiyekaa ndani ya bunge kumsikiliza JK; usipotoshe umma.
 
Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.

hadith njoo uongo njoo.....wapumbavu wanaishi kwenye upumbavu wao
 
Back
Top Bottom