Wananchi waanza kuiogopa Chadema kama ukoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi waanza kuiogopa Chadema kama ukoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Dec 1, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ni habari za kuvunja moyo kabisa baada ya wananchi waliowengi kuonekana kujuta juu ya kuzipeleka kura zao CHADEMA ,baadhi ya wananchi walisikika wakisema hawa CHADEMA hawajatulia na imekuwa boa hawakuukwaa Uraisi kwani nchi ingevurugika kutokana na ubinafsi unaoonekana na ulioonyeshwa katika kupata wabunge wachee au nafasi za wabunge wa dezo,idadi kubwa ya wabunge hao ni ndugu au jamaa au ni marafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa Chadema walioegemea ukabila na udini.

  Wananchi wengne walikishangaa Chama hicho kisivyokuwa na msimamo kati yao baada ya nusu ya wabunge kuunga mkono ombi lao la kutoka bungeni na wengine kubakia ,Chama kinaonekana hakina msimamo na inaonyesha dhahiri kuna makundi alisikika mkazi mmoja wa ukonga.

  Celina Kipasile mkazi wa Ukerewe Mwanza alisema mwanzo alikiamini sana Chadema lakini kutokana na mkorogo ulio ndani ya Chama wananchi wengi walio sehemu za huko wamekatishwa tamaa na hawatorudia kosa,mgogoro mkubwa unaoendelea chini kwa chini ndani ya Chedema umezidi kuwachanganya wananchi na kuona kumbe walikuwa wameegemea mti mkavu.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  we unamatatizo vipi kuhusu CUF mkuu! ipo poa?
   
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  mbona mie nimejiunga leo?

  wanaolalamika ni wale wale ambao wanafananisha siasa na mchezo wa mopira wa miguu.

  tena wakati najiunga akaja mwananchi mungine ambaye naye alipata hasira kuona watu wanamuongelea vibaya dr slaa eti anadai mshahara mkubwa!

  cdm oyeee!!!!
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  naye kwa hasira akajiunga!

  chm oyeeee!!!

  na hadisi yangu ikaishia hapo hapo
   
 5. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umetumwa wewe! Hawa tunawajua ni mamluki hakuna lolote!
   
 6. m

  mohermes Senior Member

  #6
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watu kama nyie tulishawajua tu na hatutatetereka na majungu yenu cc CHADEMA tunaendeshwa na taratibu na katiba iliyopo hatuendeshwi na maneno yenu.Hao watu umewahoji saa ngapi na lini?Acha uongo.
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Lete takwimu au chanzo cha habari yako kueleza hao 'wananchi' ni wangapi.
   
 8. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Eti kweli Deus Mallya ni mpiga picha na designer rasmi wa Chadema au uzushi tu?
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni chama cha wajahidina na magaidi!
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Dec 1, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Hua nikiona thread siilewi yaani imekaaa kisharishari naangalia tu jina, nikiona ID haileweki najua hata content ni yale yale tu. Mfano mwandishi ana ID kama hii Malaria Sugu, Mwiba, Zubeda, Dar es Salaam, n.k hua nazoma kujifurahisha at least post zao nao ziwe zimesomwa
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wacheni jazba ,ukweli usemwe na msiwe wakereketwa kama waCCM ambao wamekunywa maji ya bendera ,hivi mnataka kusema ndani ya CHADEMA hakuna mgogoro unaochimbuachimbua kama mchwa ?? au ni siri ? Maana mwanzo mlikuwa mnaficha lakini kila siku zikienda mambo hadharani ,wadau wacheni jazba Chadema ni wapita njia au waganga njaa kwa luga ingine ni wadini waliobobea
   
 12. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #12
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Unataka chanzo we unaishi dunia gani,yaani una macho na masikio lakini huoni wala husikii ,pole sana ,Haya shee Yaaya kasema Slaa na Kikwete watakuwa marafiki karibuni !!! Au hujasoma ?
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naona CUF wameamua kuwa wa semaji wa mabwana zao CCM A
   
 14. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sijasoma thread,nimesoma tu heading kwa hiyo sijali uliyoyaandika!
  SIMPLY C.R.A.P
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Aaaah unazungumzia migogoro tu, nimekuelewa sana mpwa, samahani mwanzoni sikukuelewa ila kama ni migogoro mbona hata ndani ya ndoa zetu na familia zetu ipo? ajabu ni ipi ikitokea CHADEMA? si ndio kujengana kwenyewe huko? Au CUF hawana migogoro wamekua malaika? Si na kwenyewe kuna migogoro? hebu tuandikie ya CUF ndo uje ya CCM then CHADEMA. Asante
   
 16. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ushauri wa bure MWIBA nenda kapime malaria yameshaanza kupanda kichwani
   
 17. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kijana, naishi dunia hii hii unayoishi. Kitaaluma ukitoa habari kama hii unahitaji kuonyesha kuwa ni wananchi wangapi ambao wana mtazamo huo uliosema. Kama umetoa mfano wa mtu mmoja, huyo ni mwananchi, na sio wengi. Mimi nasoma sana, kwa taarifa yako, nalipwa kwa kusoma mambo ya siasa za Tanzania na za nchi zingine pia, lakini sijajifanya kuwa najua kuliko wote, ndio maana nimekuomba chanzo hicho. Asante.
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  if you have noticed this notice you will have noticed that this notice is not worth noticing
   
 19. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  MOD nadhani kuna haja ya watu kumeet min condition kujiunga na hii forum.

  Ni wazi kabisa mtu amesikia maneno hayo yakisemwa je alivyoileta hii hoja hapa jukwaani anatazamia nini? Hivi kama yeye ni mshanbiki wa CCM au hao waliocomment hivyo je anategemea kuwa watakuwa na comment nzuri kuhusu wapinzani wao CDM? Ni
  wazi unataikiwa upime agenda wakati unaileta hapa JF iwe objective kumbuka JF si mahali pa washikiwa akili. Hatujadili hear say, only facts which can be verified independently. Get it siyo swala la ushabiki wa vyama hata kidogo!
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kama nilivyosema awali....
  if you have noticed this notice you will have noticed that this notice is not worth noticing
   
Loading...