wananchi waandamana kupinga mgao wa umeme,ofisi za shirika la umeme zachomwa moto

Kweli Watanzania tumezidi upole.
Angalau basi tuige mifano kutoka kwa wenzetu lakini wapi!
Tunashindwa kuwawajibisha viongozi wazembe kwa kisingizio cha AMANI.
 
mkuu umeturusha roho
mimi nilijua nyumba ya ngereja watu wameshoma. kama ni maandmanom yafanyika kwa ngereja ili aelewe hadha tunayopata baada ya hapo ni kuchoma mahekaru ya jk na mafisadi wenzie
 
Back
Top Bottom