Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.
Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.
Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.