Elections 2010 Wananchi waamua kumchakachua mbunge aliyeshinda kwa wizi wa kura-mbeya vijijini

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.

Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.
 
Na Polisi nao wamezingira nyumba ya Mbunge huyo angalau kuokoa maisha yake.
Purukushani zimedumu kwa masaaa kadhaa mpaka sasa. Watu wamezuiliwa kupita Njia
 
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.

Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.
Labda broda eleza kwa umakini zaidi..wamemvamia na kumfanyaje?..je wamempiga au kumzomea au kumvamiaje, na kwamba wakati huo alikuwa ofisini au nyumbani kwake?...!
 
Atalindwa na polisi mpaka lini? ...kifungo cha nyumbani wanachostahili wachakachuzi wote.
 
Sawa sawa. mchakachueni hivyo hivyo. Huyo alianza kuchakachua kwenye kura za maoni kwa kumpiga chini mzee wa TAMISEMI na sasa kamchakachua mtu wa NCCR-Mageuzi. Mkate kende zake
 
Mkuu, kamchakachua mtu wa CHADEMA-Sambwee Sitambala!
 
Inanikumbusha filamu ya Sarafina jinsi wale wanaharakati walivyochoma moto nyumba ya msaliti wao.
Uma unapoamua hakuna polisi atakayeweza kuzuia.
 
Mbunge wa CCM Mchungaji Mwanjale [ aliwahi kupata ubunge kwa ujanja katika uchaguzi mdogo miaka ya nyuma] amevamiwa na wananchi wenye hasira baada ya kuhonga tume ya uchaguzi, na kumfanya ashinde kwa kuchakachua, Shitambala mgombea wa CHADEMA ndiye aliyeshinda ki uhalali ila hakutangazwa na tume. Wananchi hawa wako tayari kurudia uchaguzi kwa gharama zao wenyewe.

Hii ni moja ya sehemu kati ya zile walizomwonyesha Vidole viwili Mama Salma Kikwete.

Wacha wewe Mchungaji amepiga kazi hii miaka miwili..Mchungaji alijua Mtaji wake wa kurudi bungeni ni kupiga mzigo.Kila mmoja kule anajua mgombea wa Chadema alionekana mzuri na Mchungaji aliliju hilo ndo maana akajituma kwelikweli hiyo miaka miwili.
 
Hawa nao si wangeenda kimya kimya usiku tuu ona sasa mpaka dola imejuaaaaaaaaaaaaa.
Wanaweza ata kumpiga juju si ni mbeya vijijini
 
Mungu alipokupa kazi ya kuchunga kondoo wake hakukosea ,umeleta kiherehere cha kuhangaika na siasa cha moto utakiona , TUBU urudi nyuma na uanze upya Mungu anataka ukachunge kondoo wake , Wake up ......! Look you are learning in a hard way
 
Afadhadhali wamuadabishe sababu hawa ccm wamevuka kwa wizi wa waziwazi. Nampa big up slaa amechukuwa majimbo yote yenye akili na ccm hawana swali . muziki wameushuhudia . Dr komaa ili akili yao iimalike walishazoea slop
 
Back
Top Bottom