Wananchi wa wilaya ya mwanga wapinga kauli ya serikali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa wilaya ya mwanga wapinga kauli ya serikali.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Henry Kilewo, Aug 10, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wananchi wa wilaya ya mwanga wapinga kitendo cha serikali kutaka kufunga bwawa la nyumba ya mungu, wananchi hawo wanasema ni bora serikali *isimamishe uzalishaji wa umeme kuliko wao kukosa mlo huwo wasamaki na kufa njaa. wameenda mbali na kusema hamna jambo la msingi duniani kama utu na usawa.

  wanasema wilaya ya mwanga ajira yake kubwa kwasasa ni samaki, vile vile wamemtaka mbunge wa jimbo hilo kutokaa tu Dar es salaam na kuishia dodoma maana wanamatatizo makubwa sana ila wakuwasaidia hawamuoni, kwani polisi na halimashauri wanatumia nafasi hiyo kuwakanda miza wananchiu wa chini hususani vijana waliyo jiajiri na bodaboda hutozwa kiasi cha 3000 kila mwezi na zoezi hilo husimamiwa na polisi, wanahoji je serikali imeamua kuanzisha vyanzo mbadala vya kukusanya kodi?
   
Loading...