Wananchi wa tanzania usafiri wetu utafikiri upo india!!!!!!!!!!!!!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
IMG_0156.JPG

Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda juu ya Hiace kuelekea mnadani katika kijiji cha Mlali mkoani Morogoro leo.
USAFIRI wa vijijini sehemu nyingi ni wa shida, hali hiyo inadhihirishwa na tukio hili lililonaswa na mwandishi wa mtandao huu katika kijiji cha Mlali ambapo siku za Jumapili huwa na soko la mnada katika kijiji hicho kilichopo jirani na Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.

Mwandishi wetu alishuhudia gari chache za abiria zikiwasafirisha watu kutoka maeneo mbalimbali kwenda mnadani hapo katika mazingira magumu yaliyowalazimu wasafiri kadhaa kupanda juu ya magari ambayo ni…​

IMG_0155.JPG

]Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda juu ya Hiace kuelekea mnadani katika kijiji cha Mlali mkoani Morogoro leo.
USAFIRI wa vijijini sehemu nyingi ni wa shida, hali hiyo inadhihirishwa na tukio hili lililonaswa na mwandishi wa mtandao huu katika kijiji cha Mlali ambapo siku za Jumapili huwa na soko la mnada katika kijiji hicho kilichopo jirani na Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.

IMG_0159.JPG

Mwandishi wetu alishuhudia gari chache za abiria zikiwasafirisha watu kutoka maeneo mbalimbali kwenda mnadani hapo katika mazingira magumu yaliyowalazimu wasafiri kadhaa kupanda juu ya magari ambayo ni hatari kwa maisha yao kama inavyoonekana pichani.​

PICHA NA DUNSTNA SHEKIDELE, GPL MOROGORO
 
Back
Top Bottom