Elections 2010 Wananchi wa Rorya wanahitaji kuamshwa...

mwananchi2007

Member
Nov 3, 2010
8
0
kwa nini wakubali kutawaliwa na wasiokwenda shule??? waliekwenda shule wanashinda nje ya Jimbo la Rorya..hii haijaka sawa.
 
Naisikitikia sana jimbo langu la Rorya.
Yani kumchagua mtu wa calibre ya Lameck Airo mbele ya wasomi ni tusi kwa elimu.
Watu wa Rorya bado wanahitaji mkombozi wa kweli mwenye dhamira ya kweli ya kuwalete maendeleo
na ambaye hana upendeleo wa kimaeneo,yani mwenye kupendelea kimatarafa(nyancha na girango).
Lameck ni mbaguzi na hilo kama mnafuatilia mnakumbuka sakata la kutafuta makao makuu ya wilaya mpya ya Rorya.
Ni masikitiko makubwa kuwa wamechagua fedha za Lameck badala ya kuchagua mtu makini mwenye kulala na kuwaza watu wake.Lameck anatafuta kulinda maslahi yake ya kibiashara and nothing else.
kwa hiyo kwa hili Rorya wamefanya kosa kubwa.
Nafurahi sana kata yangu ya BUKURA diwani wa CHADEMA ameshinda.Tokea vyama vingi vilivyoanza ile kata inabaki kwa upinzani,NCCR-mageuzi 1995 na sasa CHADEMA.
And big up kwa wana vijiji vya Nyambori(numbani na kwao Marando),Thabache,Masonga,Bubombi.
Hawa wameendelea kusimamia mageuzi kama yalivyozaliwa katika kijiji cha Nyambori na M.N Marando mwaka 1992.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom