Wananchi wa Mtwara huwa tu Hawasikii. Kikwete mwenyewe alishawatengeneza sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,477
23,552
Hawa Jamaa wa Mtwara sijui wana bahati mbaya gani na nchi hii. Ni zaidi ya Kenge. Kenge kusikia kwake ni mpaka apigike hasa damu zitoke hadi masikioni.

Kikwete aliwatandika sana kipindi kile cha Gesi hewa. Nakumbuka na wanajeshi walienda kule kufanya mazoezi ya kuwatwanga raia wanaopaswa kuwalinda. Wakiuliza "gesi inatoka au haitoki?" Raia alipaswa aseme "inatoka" ukikosea kwa sababu ya kulewa kwa kipigo ukasema "haitoki" walikuwa wanafuta kile kipigo cha kwanza wanaanza upya. Unapigwa zaidi ya ****** anavyochapa bakora.

Walipigika sana wale ndugu zao na mitambo ikafungwa...tuliambia bei ya gesi ingeshuka na mabomba yangesambazwa hadi majumbani.

LEO TUNAULIZA SERIKALI. GESI YA MTWARA INATOKA AU HAITOKI? Maana bado bei gesi ipo juu na waziri anazungumzia kununua gesi na vifungashio nje ya nchi.

Wananchi wa Ntwara bado wakachagua tena CCM kwa kishindo isipokuwa sehemu chache kwenye ubunge.

Mwaka huu tena Korosho.... Korosho imewafanyia roho mbaya. Lakini mwakani watachagua wabunge dhaifu tena au watachagua CCM urais kwa kula nyingi. Wanafanya mambo yale yale wakitegemea kupata matokeo tofauti.
 
Mkuu hao wamenyimwa Elimu.. Nape alitembea Juu ya Migongo ya Mama zake.. Kuna viongozi wamefanya makubwa nchi za Europe na Amerika bado hawajapata nafasi ya kukanyaga watu Migongo.
CCM ni zaidi ya Shetani.
 
Lile tukio nilisikitika mno hata kama ni utamaduni kiungwana angeshukuru na si kutenda vile lengo lake ili jiwe amuone watu wa Mtwara bado wanampenda na kumuhitaji.
 
Ndo ujue kuwa viongozi wetu hawana akili kama wananchi walivyo. Hata Mitume na Manabii wenyewe hawakuwa kutembea juu ya binadamu kuonesha ukuu wao.

Yule jamaa hana akili akatembea kweli juu yao.dada,shangazi na mama zake.

Lile tukio nilisikitika mno hata kama ni utamaduni kiungwana angeshukuru na si kutenda vile lengo lake ili jiwe amuone watu wa Mtwara bado wanampenda na kumuhitaji.
 
Lile tukio nilisikitika mno hata kama ni utamaduni kiungwana angeshukuru na si kutenda vile lengo lake ili jiwe amuone watu wa Mtwara bado wanampenda na kumuhitaji.
Hatari sana Mkuu, CCM wanafanya yaleyale ya Wakoloni, Inahitaji Ujasiri wa Kiwango cha shetani kutembea juu ya Migongo ya Mama zako sababu ya Siasa za Tanzania .
 
Wanaichagua CCM kwa sababu hawataki kuwa wasaliti wa maendeleo , nchi nzima inazizima kwa furaha ya maendeleo inayoletwa na CCM kwa sasa na hawataki kuwa sehemu ya historia ya kulaumiwa

Pia , wanamatarajio kuwa kama sio leo basi kesho, CCM itawaletea maendeleo na pia wanaamini maendeleo ni mchakato na ni CCM pekee inayoweza kuendesha huo mchakato baina ya vyama vya siasa.
 
Nyerere alingo’oa Reli kusini kuzuia Makaburu wasifike Mtwara kuwadhuru wana ANC
 
Dangote mwenyewe aliambiwa aweke kiwanda atapewa gass na mapaka sasa sijui imeishia wapi
 
Hivi gesi ipo au haipo manake mi nshachoka kufikiri.....hasa ninaposikia inaagizwa nje sasa
 
ukitaka kujua akili ndogo za watu wa kusini muangalie mwanamuzi Hamonize alivyojaa ulimbukeni, anajiona kuliko JAY Z, kibri kimetukuka. Hao jamaa shule haipo haipo.
 
Mkuu hao wamenyimwa Elimu.. Nape alitembea Juu ya Migongo ya Mama zake.. Kuna viongozi wamefanya makubwa nchi za Europe na Amerika bado hawajapata nafasi ya kukanyaga watu Migongo.
CCM ni zaidi ya Shetani.
Huu utamaduni ni wa watu wa Pwani. Hufanyika kama binti amejitunza na kuolewa bikra, mama wakubwa, wadogo na mashangazi hulala chini kwa furaha na kumuacha akanyage migongo kama hongera ya kuwatoa aibu.
 
Back
Top Bottom