funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Ule ni utamaduni wa watu wa Mtwara mie nilioa mzungu (tushamwagana) ila nae siku ya harusi alitembea juuya migongo ya mashangazi kama kawaida. Asili na iheshimiwe. Mdharau kwao ni mtumwaLile tukio nilisikitika mno hata kama ni utamaduni kiungwana angeshukuru na si kutenda vile lengo lake ili jiwe amuone watu wa Mtwara bado wanampenda na kumuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app