Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,496
- 23,678
Hawa Jamaa wa Mtwara sijui wana bahati mbaya gani na nchi hii. Ni zaidi ya Kenge. Kenge kusikia kwake ni mpaka apigike hasa damu zitoke hadi masikioni.
Kikwete aliwatandika sana kipindi kile cha Gesi hewa. Nakumbuka na wanajeshi walienda kule kufanya mazoezi ya kuwatwanga raia wanaopaswa kuwalinda. Wakiuliza "gesi inatoka au haitoki?" Raia alipaswa aseme "inatoka" ukikosea kwa sababu ya kulewa kwa kipigo ukasema "haitoki" walikuwa wanafuta kile kipigo cha kwanza wanaanza upya. Unapigwa zaidi ya ****** anavyochapa bakora.
Walipigika sana wale ndugu zao na mitambo ikafungwa...tuliambia bei ya gesi ingeshuka na mabomba yangesambazwa hadi majumbani.
LEO TUNAULIZA SERIKALI. GESI YA MTWARA INATOKA AU HAITOKI? Maana bado bei gesi ipo juu na waziri anazungumzia kununua gesi na vifungashio nje ya nchi.
Wananchi wa Ntwara bado wakachagua tena CCM kwa kishindo isipokuwa sehemu chache kwenye ubunge.
Mwaka huu tena Korosho.... Korosho imewafanyia roho mbaya. Lakini mwakani watachagua wabunge dhaifu tena au watachagua CCM urais kwa kula nyingi. Wanafanya mambo yale yale wakitegemea kupata matokeo tofauti.