Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Mtujuze wadau ,inawezekanaje mtu akazaliwa sehemu mbili tofauti?Mara kilimatinde singida Mara paaah kilosa kichangani,Mara anandugu pale magubike,au MTU anaweza zaliwa ukubwani?biography inaonyesha amezaliwa kilimatinde na kusoma herega kilosa japokuwa shule inaitwa mgugu.wanasiasa mnatuvuruga...#uchaguzi 2020 una vihoja#View attachment 1494568
Mbona unaweza kuzaliwa Kilimatinde lakini ukakulia Kilosa au ukazaliwa Kilosa ukakulia Singida, inawezekana sana tu.
 
Mtujuze wadau ,inawezekanaje mtu akazaliwa sehemu mbili tofauti?Mara kilimatinde singida Mara paaah kilosa kichangani,Mara anandugu pale magubike,au MTU anaweza zaliwa ukubwani?biography inaonyesha amezaliwa kilimatinde na kusoma herega kilosa japokuwa shule inaitwa mgugu.wanasiasa mnatuvuruga...#uchaguzi 2020 una vihoja#View attachment 1494568
Wabunge wengi hasa wa mijini si wasaliwa wa huko. eg Dar, Mwanza, na Arusha . Tatizo liko ma Wilayani huko bado ukabila upo.
 
Mtamchagua tena mwanamusic ambaye hajasoma mmuache huyu msomi? Kumbuka ni waziri wa mambo ya nchi za nje huyo. Kilosa, mchagueni awaletee tende na halluwa
 
Biography yake amezaliwa kilimatinde, kwa kauli mpya amesema amezaliwa kilosa.wakati mwingine watanzania tunatakiwa tuwe na alama hii ?he sio kosa kudanganya ,he kudanganya hakukuondolei UADILIFU?
 
Kwanza umeshindwa kuelewa jimbo LA prof. J ni lipi na prof kabudi anataka jimbo gani.pili hao maprof wapi wameisaidia nchi kutukwamua kwa kutumia u prof wao?
 
Wananchi wa kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoani Morogoro wamemuahidi Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao.

Profesa Kabudi ni mzaliwa wa Kimamba na alisomea kijijini hapo kabla ya kufaulu na kwenda Mzumbe.

Profesa Kabudi ametangaza nia kwa kusema...
Mimi narudia tena kusema kuwa mkoa wa kimkakati wa maendeleo ni Morogoro, hata Baba wa Taifa aliliona hilo na sasa hivi tuna kiongozi anayetaka mabadiliko

Mimi ni kijana wenu, mzaliwa wa hapa na niwaambie kuwa mkinihitaji kuwatumikia niko tayari



Chanzo: Channel Ten

Maendeleo hayana vyama!
Ukiambiwa siasa ni uongo, ushahidi ni huu. Baba wa Taifa, kaondoka lini madarakani, leo hii miaka 35 baadae sijui profesa alikuwa usingizini, ati leo ndio kakumbuka Mg ni mkoa wa kimkakati na ghafla yeye ndio atawezesha huko kuwa mkoa wa kimkakati kuwezekana?
 
Back
Top Bottom