Wananchi wa kata ya Kisese kijiji cha Disa wilayani Kondoa Vijijini waukataa mkutano wa mwenyekiti wa kijiji, wamfuata kumsikiliza Prof. Lipumba

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
WANANCHI WA KATA YA KISESE KIJIJI CHA DISA WILAYANI KONDOA VIJIJINI WAUKATAA MKUTANO WA MWENYEKITI WA KIJIJI WAMFATA KUMSIKILIZA PROF.LIPUMBA

Wananchi wa Kijiji Cha Disa Wilayani Kondoa Vijijini Wamejitokeza kwa Wingi Kumsikiliza Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof Lipumba Huku Wakigoma Kwenda Katika Mkutano wa Kijiji Ulioitishwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Disa.
 
Lipumba huo mkutano anafanyia ukumbini au sehemu ya wazi? nani kampa kibali wakati kampeni hazijaanza na yeye si Mbunge wala Diwani wa eneo husika?
 
Back
Top Bottom