Wananchi Wa HAI Mkoani KILIMANJARO Wamwambia Prof.Lipumba Kweli LOWASSA Alikuwa Sio Mpinzani wa Kweli

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Wananchi wa Wilaya ya HAI Wamwambia prof.lipumba Kweli LOWASSA Alikuwa Sio Mpinzani wa Kweli kwani ulitumbia Kweli hili.

Wananchi wao ambao walijitokeza kwa Wingi katika Mkutano wa Ndani wa kuzungumza na wanachama wa Chama Cha CUF ndiyo walipata fursa ya kuchangia ndiyo walipomwambia Prof.Lipumba Kweli LOWASSA Alikuwa Sio Mpinzani wa Kweli.
 
Back
Top Bottom