Wananchi wa Finland wataka nchi yao ijiunge NATO, Russia yawapiga mkwara wasithubutu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Wananchi wa Finland wametaka nchi yao ijiunge na NATO ili kujihakikishia usalama zaidi lakini Putin amewapiga mkwara wasithubutu.

Finland inashare mpaka na Russia

Source: BBC
 
Wapigwe na wao. Ukraine imeonesha wazi kwamba hizi nchi nindhaifu kivita bila NATO.
 
Back
Top Bottom