Wananchi wa Bunda popote mlipo hivi Wasira aliwapa nini mpaka mkamchagua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa Bunda popote mlipo hivi Wasira aliwapa nini mpaka mkamchagua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MANGUNGO, Mar 22, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Nakasirishwa na mzee huyu kwa kulichafua kanisa katoliki,mpaka najiuliza Bunda kulikosekana viongozi safi?nawasirisha.
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Aliwapa kapero ndo maana wakamchagua. Ujue Bunda ni wilaya ya pili kutoka mwisho kwa umaskini. Yaani kwa maneno mengine ni kuwa kuna wilaya 1 (nimeisahau) inaongoza kwa umaskini TZ ikifuatiwa na Bunda. Huruma!
   
 3. e

  elimukwanza Senior Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nikianza na kumbukumbu zangu za mwaka 1995 wananchi wa Bunda walimpenda sana wasira kutokana na kile walichoamini kuwa ndiyo aliyesababisha kuwepo kwa kiwanda cha VILIAN (UNUNUZI WA PAMBA) cha pamba na kwa bunda kwa kweli VILIAN ilikuwa mkombozi wa wanancHi wa bunda kwani vijana wengi walipata ajira na wakulima walipata fedha sana ulikuwa uwaelezi kitu kuhusu vilian(na kaka yake wasira GEORGE WASIRA ndiyo alikuwa manager pale),kwani awali chama cha Ushirika MARA COPERATIVE KILIWAKOPA SANA
  CCM TAIFA KWA KULIJUA HILO ikaamua kuligawa jimbo la Bunda na kuanzisha MWIBARA ili imushawishi wasira agombee MWIBARA na WARIOBA AGOMBEE BUNDA MJINI maana ilikuwa na interest na warioba,lakini wasira akakataa akaamua kupambana(hata mimi nilikubaliana nae kwanini asiende MWIBARA takuambia why?).Ngoma ikapigwa uwanjani warioba akashinda kura za maoni CCM,wasira tukamshauri aingiee NCCR(si unajua enzi zile marando na mrema).SITAUSAHAU ULE UCHAGUZI nilikuwa kambi ya wasira ulikuwa mgumu mno(fedha ilitembea vibaya sana) lakini mwisho wa siku wasira akashinda KWA NGUVU YA UMMA maana tulitaka kuchoma BOMANI pale bunda kwa stahili yao ya kuchelewesha matokeo. Tajiri mmoja wa bunda alikuwa kambi ya Warioba(BUNDA BUS) akafyatua risasi kututisha.ILA tu kwa faida ya wana JF,KATIKA kampeni NYERERE alipita pale Bunda wakati anamnadi MKAPA na wasira alikuwepo akasema kuhusu ubunge kuwa wote Joseph na Stephen ni vijana wake lakini HUyu akimsonda wasira amekuja kwangu akanieleza nataka nimngoe Joseph nikamuuliza kwanini? akasema kuwa wananchi wa Bunda awataki mikono mitupu tena ananieleza mimi na nasikia ameanza kuchinja Ngombe,Msimpe kura kura zenu mpe JOSEPH SINDE WARIOBA tulitoka tumenyong'onyea sana lakini tukajipanga na tukamweleza wasira ajibu mapigo na wasira kweli alirudi akasema Mzee anazeeka vibaya na huo ukawa mwanzo wa mahusiano mabovu kati ya mwalimu na wasira.
  WANA JF TAENDELEA BAADAYE KUWAJUZA STEP TO STEP KUANZIA ALIVYORUDI CCM,kWANINI BUNDA WALIMCHAGUA TENA MPAKA KWANINI MNAMUONA HIVYO LEO THE FORMER HERO WASSIRA
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Aliwatishia na lile lisura!
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Ama labda kwa vile ana sura mbovu sana kwahyo wakaona wampe ubunge ili kumpoza machungu kama walivyoambiwa wana wa Arumeru ili mwana wa marehemu apozwe machungu yake basi apewe ubunge..teh..teh,teh..Bunda mpo??


  Sura kama ya Michelin.
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwa jinsi unavyojieleza wewew mwenyewe ni hiro
   
 7. Mtagwa lindi

  Mtagwa lindi JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 278
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kwanini alikataa kwenda mwibara? na kwann bunda walimchagua tena.
   
Loading...