Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
10,303
8,251
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
 
Kama ni kweli wameamua kuchanga pesa zao binafsi kwa ajiri ya kujenga barabara mpya mbali ya zile zinazohudumiwa na Serikali, ni uzalendo wa hali ya juu unaopaswa kuigwa na mikoa mingine. Hongera zake Mh. James Mbatia.
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
Ni barabar ya kutoka sehemu gani kwenda wapi
 
wananchi wa vijiji 16 jimbo la vunjo Kilimanjaro kwa kushirikiana na mbunge wao makini eng James mbatia,wamechanga fedha binafsi billion 7.2 ili kujenga barabara km 232 jimboni humo
mradi huo ni wa hiari na sio wa serikali,hongereni wana Kilimanjaro kwa kijitambua,ndio maana mkoa unazidi kuchanja mbuga kimaendeleo
Huku kwetu chato inaingia mara 1.5 trillion kwa maendeleo kwa miaka 600 ijayo,aikarua
 
Back
Top Bottom