Wananchi tunaomba CV za wateuliwa wote kuanzia Ukuu wa Wilaya,Wakurugenzi,Ma DAS

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
Katibu Mkuu kiongozi kama Mtendaji Mkuu wa Serikali kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi wa umma tunaomba watuwekee CV za wateuliwa wote hasa ngazi ya Ukuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Ma DAS kwenye database ya CV za viongozi wa umma na sifa zao ili wananchi wenye kutafuta CV zao iwe rahisi kuwapata. Mfano(umri wao, elimu, status). Hii itakuwa inamrahisishia Mheshimiwa Rais kufanya teuzi mbalimbali pale atakapokuwa anafanya mabadiliko madogo kwenye ngazi hizo zilizotajwa.

Nawasilisha ushauri uzingatiwe.
 
Endelea kusubiri hapo, train lishashika kasi, sasa hivi tunasubiri reshuffle ya wakuu wa Idara (maana wakuu wa idara nao ni majipu) ili mahesabu yafungwe.
 
Mie naomba amalizie na watendaji kata kuteua.Tutashuhudia mengi huu ni mwanzo tu.
 
We kweli mzungusha mikono, mawazo ya wazungusha mikono utayajua tu
1467983139206.jpg
 
kaka mi si muumini wa chama chochote. ila natimiza wajibu wangu tujenge wote taifa lisonge mbele.
 
Endelea kusubiri hapo, train lishashika kasi, sasa hivi tunasubiri reshuffle ya wakuu wa Idara (maana wakuu wa idara nao ni majipu) ili mahesabu yafungwe.
Sasa ndo umejibu nini?Swali na jibu tofauti kama ardhi na mbingu.
 
Katibu Mkuu kiongozi kama Mtendaji Mkuu wa Serikali kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi wa umma tunaomba watuwekee CV za wateuliwa wote hasa ngazi ya Ukuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Ma DAS kwenye database ya CV za viongozi wa umma na sifa zao ili wananchi wenye kutafuta CV zao iwe rahisi kuwapata. Mfano(umri wao, elimu, status). Hii itakuwa inamrahisishia Mheshimiwa Rais kufanya teuzi mbalimbali pale atakapokuwa anafanya mabadiliko madogo kwenye ngazi hizo zilizotajwa.

Nawasilisha ushauri uzingatiwe.
Anza kutoa ya kwako kwanza tuione
 
Back
Top Bottom