Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.

Ni ujinga tu,CCM wamejaa bungeni na wanapitisha tozo za simu bila kuchambua halafu wanawaibia tens wananchi kura.
Hako kajimbo wangekaacha tu,CCM huwa wanapenda chokochoko.
 
Hawa ACT walikuwa wamenunua mkufu wa dhahabu mchana toka kwa kibaka aliyewapitishia mkufu nyumbani. Usiku kibaka kaja na wenzake akiwa na mapanga na marungu, anawalazimisha watoe mkufu, wao wanakataa kuwa hawana, unafikiri kibaka atakubali wakati anajua amewauzia mchana?

Siku ukiona akili yako inakutuma uiamini CCM, wahi mapema Milembe hospital.
 
Walipokosea ni hapo..

Ni Karume na JK pekee waliotaka kwenda hatua nyingine ya maridhiano.
 
Back
Top Bottom